MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,222
- 5,898
Inachekesha Huku inauma kuona tuna. Mijamaa kama 300 na ushee IPO bungeni inatajilika bila jasho Tena Kwa pesa yetu wenyewe hata Soni haina ila Mungu wetu ni mwema sana
nadhani wengi wetu sasa mtakuwa mnaelewa umuhimu wa kuwa na bunge la mseto.tatizo la maji ni la mtambuka.kwa sasa nadhani kwa sababu hilo limeikumba dar ndo maana linaongelewa sana.nitoe mfano tu pale kigoma kuna mji unakuwa kwa haraka sana panaitwa kazegunga.uko karibu sana na manispa kama km 10 tu kutoka mjini na uko barabara kuu ya kwenda dar lkn hauna maji mpaka leo hii.idadi ya makazi mapya ni zaidi ya 300 na kuna taasisi zaidi ya nne lkn hakuna maji.pia makao makuu ya halmashauri ya kigoma vijijini yapo pale.hebu fikiria lkn tunaambiwa na wanaccm kuna mtandao mkubwa wa maji vijijini.bunge letu la sasa ni bunge la matukio kwa ajili ya kujianda 2025.watz tuwe makini.Niliamini jambo la kwanza ambalo Wabunge wangeanza nalo bila kujali itikadi ya vyama ni Suala la Uhaba wa Maji kwa kupeleka Hoja maalumu
Kumbe nilikariri enzi za Tundu Antipas Lissu
J5 Ubarikiwe sana
Wataalam wanadai kicheko huwa kinaficha kugabidhiwa, hasira n.kInachekesha Huku inauma kuona tuna. Mijamaa kama 300 na ushee IPO bungeni inatajilika bila jasho Tena Kwa pesa yetu wenyewe hata Soni haina ila Mungu wetu ni mwema sana
Wabunge one party.CCM.Acha uongo hilo ni bunge la chama kimoja na itikadi moja.