alberaps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,568
- 1,002
Changia bila kutaja Kabila watakuelewa tuu
Wanapotajwa WACHAGA Pia utoe huu ushauri!
Changia bila kutaja Kabila watakuelewa tuu
Julius Nyerere alikuwa mshika chaki, Ali Hasan Mwinyi mshika chaki John Pombe mshika chaki !!!! Jipange uje upyaWakuu system ya Ualimu ni tofauti na Utumishi mwingine watu waliofanya kazi tofauti na Ualimu ni wajanja wajanja sana wanaweza Kusain deal wewe hata usijue ni vema ukamchukua hata Mtu aliyefanya kazi kwa mda mrefu katika idara Fulani ndani ya Wizara kuliko kumchukua mshika chaki
Mara nyingi wanashindwa Wakikutana na Wajanja wa pale Wizarani waliozoea kupiga deal watapitisha mchanga huku ukiwa huna hata habari.
Mtaalamu wa Mambo ya Saikolojia Leo amekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji afadhari angewateua hata Ma professor wa pale SUA wa Water Resource Engineering, Agricultural Engineering
Hivi Pale Wizarani wamekosa hata wakuu wa Idara mbalimbali wakapandishwa vyeo.
Kwanini mkuu?
Akili Kisoda Urais ni tofauti na hii Nafasi nategemea mtu inatakiwa awe anauwezo na technical capabilities katika ile Wizara kwa sababu yule ni Mtendaji Mkuu pale Wizarani kwa hiyo unategemea awe anajua angalau hata Jargon za Water Resources Engineering, Agricultural Engineering na Vitu vingine vingi.Julius Nyerere alikuwa mshika chaki, Ali Hasan Mwinyi mshika chaki John Pombe mshika chaki !!!! Jipange uje upya
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Acha ukabila weWachaga watakapoacha Wizi kila kitengo wanachopangiwa hakika hatutawasema.
Wewe ni mpumbavu sana yaani Rais ndie overall wa serikali nzima ila unategemea katibu Mkuu awe na akili kuliko Rais juha kabisa weweAkili Kisoda Urais ni tofauti na hii Nafasi nategemea mtu inatakiwa awe anauwezo na technical capabilities katika ile Wizara kwa sababu yule ni Mtendaji Mkuu pale Wizarani kwa hiyo unategemea awe anajua angalau hata Jargon za Water Resources Engineering, Agricultural Engineering na Vitu vingine vingi.
Umetudhalilisha sana walimu,Rais ni mwalimu,waziri mkuu ni mwalimu,nisijue makamu wa rais,tutake radhi aisee.Usidhalilishe ualimu Kaka, kwani ukatibu mkuu ndio umeona kazi kubwa sana eeeeenh, mbona usitahadhalishe Rais kuchaguliwa mwalimu? Raid wetu si aliwahi kuwa mwalimu sengerema sekondari?
Kwa system yetu ya Sasa elimu ya mtu haina uhusiano na kazi aifanyayo. Darasa la Saba kapewa mkoa Tena mkoa mkubwa na mgumu kuliko yote na anakimbiza vile vile, we vipi bwana.