Kweli huu ndio ufafanuzi wa kukuridhisha wewe?Ubarukiwe mkuu kwa ufafanuzi, kuna watu humu wana akili za kitoto sana, sometimes unafikilia wenzetu wanafikili kwa kutumia nini? unaishia kicheka tu.
Mhh. Kumbe mwanadiplomasia mzee wa msoga alitufaa kwa mengi.
Hawa jamaa ni wapuuzi sana wanahangaika kutafuta umaarufu wa kijinga......wanaleta siasa mbuzi wakati ikitokea huo ujinga wanauwaza ikawa kweli hata wao wataaumia.........hizi siasa zinawafana wanashabikia ujinga.Nafikiri magazeti yanakuza vitu kama kawaida yao.
Hii NGO mojawapo ambayo ilikuwa inasaidiana na USAID wamemaliza mkataba wao & wanakuja wengine.
Ni utaratibu wa kawaida tu katika dunia.
Wamarekani bado wanafanya STUDY & RESEARCH nyingi sana huku KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, TANZANIA ikiwemo kuhusu HIV/AIDS kwa ujumla & magonjwa mengine. Kila siku wanabeba samples na kuzipeleka kwao;
Hivyo basi, wanatutegemea mno & hawataondoka leo wala kesho;
1. Wanafanya UTAFITI.
2. Sisi ni soko lao.
Tuache kupotosha & ku create sintofahamu miongoni mwa jamii hasa hawa ndugu zetu wanaoishi na VVU.
Serikali yetu kwa sasa, inanunua dawa hizi pamoja na misaada ya wahisani.
Na sasa WIZARA YA AFYA iko na mkakati wa kuleta THIRD LINE ARV DRUGS, nk...
Ngoja niishie hapa.
Uko sawa.Maelezo yako kwa kiasi Fulani ni sahihi. Ebu jibu na maswali haya
1.Je unajua 100% ya ARV zilikuwa zinatolewa na hawa wamarekani?
2.je unajua adi mwaka Jana juni 2015 walishakubali kuendelea kusapoti izi dawa lakini ghafla wamejitoa?
3.je wizara ya Afya ikiamua kusimamia jukumu LA ununuzi wa ARV bajeti IPO?
4.Zile tetesi za wamarekani kujitoa kufadhili miradi ya UMEME ambazo badaye zikawa kweli na kuathiri bajeti ya nishati ,zinaweza kuwa sawa na hili sakata la ARV.
5.He unakubaliana na ya kwamba wamarekani kwa sasa wanatukomoa? wanajitoa kwenye miradi polepole na kwa akili ya juu kwa lengo LA kutukomoa?
Una maelezo mazuri lakini hayajibu maswali,ebu jibu swali moja baada ya lingineUko sawa.
Kwa sasa serikali inaagiza dawa hizi kwa asilimia fulani ... Na asilimia nyingine inatolewa na NGO'S. Na nilifanya kazi na NGO mojawapo ...
Na ndio maana Bajeti ya Afya itaongezwa kuanzia mwaka huu.
Mkakati uliopo sasa, ni kutonunua dawa za gharama, bali zile cheap.
Stock ya ARV tuliyonayo sasa ni kubwa tu.!
Hivyo, basi tuendelee kutoa support kwa Wizara & Serikali.
Wahisani watachangia & Serikali itachangia pia.
Na ninatoa PONGEZI kubwa kwa Serikali & Wahisani kwa juhudi zao za kupambana na JANGA hili.
Kwa TAARIFA yako;
1. Kwa sasa tuna WATOTO wengi sana waliozaliwa na wa mama wenye VVU lakini wao hawana VVU.
Yote hii ni juhudi za kutumia ARV kwa mama tangu akiwa mjamzito & kumkinga mtoto.
2. Watu wenye VVU wamepata matumaini, wana furaha, amani & AFYA tele.
Ukikutana na mabinti, wamama, wa baba, na vijana hawa hutawajua kwa kuwaangalia kwa namna wanavyopendeza.
Serikali imepambana & kwa hili nawapa pongezi.
Hakuna ulichojibu, jaribu ku quote kwa kujibu hoja
Mimi sio MSEMAJI wa serikali kwa upande huu, ila NIKO ndani ya system; Nilikuwa najaribu kuelezea kilichopo kwa uhalisia, na kuondoa maneno ya mtaani kuwa dawa hazipo/hazitakuwepo. Siwezi kusema zaidi ya hapa, sio wajibu wangu hata kama najua mambo kadhaa.Una maelezo mazuri lakini hayajibu maswali,ebu jibu swali moja baada ya lingine
Mimi sio MSEMAJI wa serikali kwa upande huu, ila NIKO ndani ya system; Nilikuwa najaribu kuelezea kilichopo kwa uhalisia, na kuondoa maneno ya mtaani kuwa dawa hazipo/hazitakuwepo. Siwezi kusema zaidi ya hapa, sio wajibu wangu hata kama najua mambo kadhaa.
Hivyo, basi huyo msemaji atakuja kuwaeleza kama ikihitajika JAPOKUWA si kila swali linapaswa kujibiwa.
Mimi sio MSEMAJI wa serikali kwa upande huu, ila NIKO ndani ya system; Nilikuwa najaribu kuelezea kilichopo kwa uhalisia, na kuondoa maneno ya mtaani kuwa dawa hazipo/hazitakuwepo. Siwezi kusema zaidi ya hapa, sio wajibu wangu hata kama najua mambo kadhaa.
Hivyo, basi huyo msemaji atakuja kuwaeleza kama ikihitajika JAPOKUWA si kila swali linapaswa kujibiwa.
.Mimi sio MSEMAJI wa serikali kwa upande huu, ila NIKO ndani ya system; Nilikuwa najaribu kuelezea kilichopo kwa uhalisia, na kuondoa maneno ya mtaani kuwa dawa hazipo/hazitakuwepo. Siwezi kusema zaidi ya hapa, sio wajibu wangu hata kama najua mambo kadhaa.
Hivyo, basi huyo msemaji atakuja kuwaeleza kama ikihitajika JAPOKUWA si kila swali linapaswa kujibiwa.
1. Nadhani unaelewa serikali huwa ina fungu la dharula in case of anything..
Sawa nimekuelewa ,ila rudi kwenye majibu yako (post no 25) ukubaliane na mambo haya
1.bajeti ya wizara ya Afya kwa 2016/2017 I imeshasomwa na kupitishwa hakuna ongezeko lolote. 2. Mpango wa kununua dawa ambazo ni cheap(bei rahisi) ni hatari ,vitu cheap Mara nyingi havina ubora/feki.
1.kama wewe ni mtanzania kweli usijitoe ufahamu,hii nchi Nina uhakika unaijua vizuri.1. Nadhani unaelewa serikali huwa ina fungu la dharula in case of anything.
2. Sio kweli dawa kuwa cheap ni feki; Hayo ni mawazo ya mtu asiyeijua FANI.
Nitakupa mfano MMOJA;
ALBENDAZOLE inayotengenezwa TANZANIA pale Shelly's inauzwa Tshs 500/=; Inayotengenezwa INDIA inauzwa Tshs 2,000/=; Inayotengenezwa KENYA inauzwa Tshs 1,500/= au 1,000/=; Na ile inayotengenezwa na GSK huko Cyprus au Germany inauzwa Tshs 5,000/=.
MIMI huwa nanunua ya NYUMBANI;
Unajua ni kwa nini hiyo?
a) Active ingredient ni moja, ni sawa na zinazotengenezwa nje (Albendazole), hivyo zote zitatibu tatizo.
Unajua kwa nini za nje huuzwa ghali na kutofautiana nchi moja na nyingine? ( Nimetoa mifano ya Kenya, India, na Cyprus na Germany).
a) Gharama za usafiri,
b) Kodi,
c) Brands za dawa. Kuna coating materials huongezewa kwenye kidonge ili kuongezea appearance & taste ya dawa; Kwa mfano, rangi, sukari, harufu nzuri nk; Hivi vyote huchangia dawa kuwa na bei kubwa. Na hili halimaanishi kuwa hii itatibu na zingine hazitatibu.
Baada ya kukupa mfano huo tuje kwenye ARV'S. ARV'S zinazotengezwa MAREKANI zitakuwa na bei kubwa kuliko kwingine kote kama INDIA nk...
Brands za Wamerakani, na Wazungu ni gharama mno, sio kwa ARV'S tu bali kwa dawa zingine zote. LAKINI, Mhindi dawa zake ni cheap kidogo na ndo zimejaa AFRIKA.
Na zote (awe mzungu au mhindi) zina ACTIVE INGRIEDINTS sawa, tofauti ni BRANDS tu.
Inatosha kwa sasa.