Nilimuamini rafiki yangu kageuka kaanza kuingiza gia kwa mpenzi wangu

Huyo mdada wa kinyakyusa atakuwa wa kawaida sana, na sidhani kama anaweza kusimamia familia vizuri
 
Huyo sio bwege mkuu.. Anakuandalia bonge la game wngj ukij kusanuka na ww utalia. Watu km hao ni atar sn... Uvumiliv ukifk mwisho wema unageuka chuki hpo ndo utajua kwann kuku hakojoi anachanganya kinyes na mkojo.. Keep watching mkuu
 
kuna watu mabwege hatari......yaan labda huyo manzi(nyakiz) anataka nn au ameelewa nn kwako......ukijibu nambie na umri wake tafadhali......
 
Afu vicheche wengi wa mbeya wanapenda sana kutumia huu mfano.
Mnafundishwa kanisani au?
Usipende kumtoa mwanamke machozi.
Moja ya jambo ambalo sipendi kumfanyia mwanamke ni kumtoa machozi.
Kuwa makini bro
Ahahaaa nimecheka kama mazurii eti mnafundishwa kanisanii
 
Afu vicheche wengi wa mbeya wanapenda sana kutumia huu mfano.
Mnafundishwa kanisani au?
Usipende kumtoa mwanamke machozi.
Moja ya jambo ambalo sipendi kumfanyia mwanamke ni kumtoa machozi.
Kuwa makini bro
Teh teh...
 
Kama mimi namwambia huyo rafiki yangu awache ungese wa kijinga. Halafu urafiki wetu utakuwa wa kawaida tu, sioni ulazima wa kuwa na rafiki mnafiki.


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom