Nilifundishwa mapenzi na mtoto wangu

Tuwatunze watoto wetu ila nahisi huyo mtoto ni wakwako kwan hamjafanana kwelly??😅
 
Maisha bhana enzi hizo miaka ya 1980 mwanzoni nko primary tunarudi home kupiga msosi saa 6 then tunarudi shule hadi saa kumi sasa siku zingine unakuta msosi hakuna au kuna uji tu acha kabisa ndio maana sina huruma kabsa na kuku lazima nipige kufidia
 
Sasa hapa unaomba ushauri,unanung'unika ama unatupa mori tukamuonje huyo mwanao, maana kwa uandishi wako tu anaonekana mabata ushungi wallah!
 
Back
Top Bottom