Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
- Thread starter
- #21
Asante mkuu kwa kunijuza mda ulikuwa sahihi
Hapana...huyo jamaa hapo juu aliyesema wewe na daktari wako mkapimwe akili dizaini aliongea kitu asichokijua. PEP uliyopewa bado ilikuwa ndani ya muda sahihi. Normally inatakiwa itolewe within 72hrs baada ya exposure...and this is after testing negative for HIV. Hata hivyo zingatia ushauri uliopewa hapo hospital ili kujizuia na maambukizi ya HIV. La muhimu pia ni kwamba sex sio emergency bro. Jitahidi ku-plan for it ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa unafanya sex iliyo salama kwako na mwenzi wako pia.