Nilichomfanyia dada wa masaji hatosahau

View attachment 1780894

Fast foward.......

Hii masaji ilikuwa mobile yaani alikuja room kunifanyia masaji.

Alipofika akaanza na gia ya kuvaa kihasara-hara. Alikuja very decent akaomba aingie bafuni. Akaoga na kutoka na kanga moja iliyolowa.
Wakati namtupia taulo ajifute nikajisemea ngoja niionyeshe wehu hii pisi kali. Tulikubaliana ni masaji baaaaasi tu sitaki chokochoko zingine.

Alipojikausha akajifunga mtandio na kunitaka nilale chali anihudumie. Nikaitika.
Akaanza mdogo mdogo sehemu za mabega na kifuani hapa na kushuka kwenye mbavu. Baadae kidogo akapanda kitandani akitaka kunikalia akidai chini anakosa uhuru. Nikamruhusu akanikalia baada ya dakika 5 braza zakaria akataka kunisaliti. Dada akainuka kidogo kutaka kunivua boxer.
Nikamwambia hapana usifanye hivyo sio makubaliano. Akatabasamu akisema 80k ni body to body masage.

Basi akanielewa ila akaiegemeza viungo vikawa karibu kabisa mpaka nikagundua hakuvaa kitu ndani. Nikatamani nimwambie avae chupi ila nikaona nimpotezee tu,namkazia hivyo hivyo.

Basi wakuu nikajikausha pale mpaka ikatosha nikageuka kifudifudi ambapo hakuna madhara na vishawishi. Hatimaye dakika 40 zikakata ngoma droo. Dakika ya 43 akaniuliza kwani kaka una tatizo la nguvu za kiume. Nikacheka sana mpaka akashangaa,kisha nikamwambia ingiza mkono uhakiki. Kaniambia nataka nikupe ofa,nikamwambia usipate taabu labda siku nyingine halafu sina mpira. Akaniambia anayo kwenye mkoba.. Mkuu wenu bado nikakomaa.

Dakika ya 89 akanyanyuka akaoga zake,tukapiga stori kidogo na kusepa.
Hapa tumepigwa kekundu keupe..
 
Kwa karne hii inawezekana kweli?
 
Unaenda kununua matatizo halafu unajisifu kwa kuyatatua ili uonekane ni jasiri. Huu si uungwana OKW BOBAN SUNZU. Halafu unajua ulivyomtesa huyu dada hawezi kukuacha na stori za kukuonea huruma kuwa unagonjweka tena maradhi mabaya mnoooo.

Mungu sio mjinga aliyetuimba na nyege akatukataza kukaribiana sana na viumbe vya kike alivyotugharamishia kiviingilia kimaumbile bila ya sheria ya ndoa kupita. Mkuu na engineer mwenyewe anaelewa vyema alivyotuumba. anajua hatuwezi kustahamili minyato na joto la mwanamke halafu ww unakuja kumprove wrong muumbaji wako. Jitafakari sio kila jambo linahitaji kutestiwa. Usijitie umwamba kwenye kujizuia na kufanya starehe za kimaumbile.

ULIOUFANYA KWA HUYO DADA NI UJINGA NA KUYADHALILISHA MAUMBILE YA KIUME.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom