Nilichogundua teuzi za Rais Magufuli

Fair criticism? What's fair? Magufuli not paying taxes? Magufuli and his gang living large at the expense of the majority? Magufuli not dealing with grand corruption? (Escrow, Lugumi, EPA, Meremeta, Richmond/Dowans/Symbion etc.) Majority citizens struggling to meet basic needs? Having a 7% GDP growth (over the past 10 years), but poverty is still rampant?

Huwezi kuwa uncritical (wewe unafikiri ni negative criticism) kwenye nchi ambayo watu wengi ni masikini waliotengenezwa na serikali za CCM.
Pole sana ndugu yangu. I can imagine umenuna kiasi gani wakati unaandika hayo maneno. Hakuna mahali ambapo kila kitu kipo smooth hapa duniani.
Hata hao wanaotuletea fedha za ufadhili, wanayo matatizo mengi tu yanayowaumiza kichwa.
 
Habari wana-JF
Mhe. JPM mara nyingi hufanya teuzi mbalimbali akiwa anachagua wasomi,wahadhiri na wanataaluma.

Mfano jana kamteua "nguli wa sheria kuwa mbunge"(kwa mujibu wa gazeti la mwananchi). Nilichogundua ni kuwa anachagua watu wa aina hii kama njia ya kujihami kwa sababu zifuatazo;

1. Hawa wasomi anaowachagua hawawezi kupingana na bosi wao hata ikitokea kakosea mambo.

2. Kuwanyamazìsha watu wasiweze kuhoji pale inapoonekana jambo limekosewa na Mhe. maana utaambiwa mbona akina fulani ni wasomi wamesema mambo yako sawa.

3. Kuonyesha kuwa anajenga serikali ya wasomi ambao wanaamua masuala ya nchi kitaalamu jambo ambalo si kweli tunaona mambo mengine yanaamulia kinyume mfano uvunjaji wa katiba
Hoja mfu
 
Hata hao wanaotuletea fedha za ufadhili, wanayo matatizo mengi tu yanayowaumiza kichwa.
At least hawahangaiki na watu wao kupata basic needs. Sasa huku kwetu miaka 50 bado tunahangaika na maji, umeme, afya, njaa n.k. Halafu unataka fair criticism!!!

Unataka kufahamu matatizo yanayowaumiza kichwa wafadhili wa serikali za CCM, ngoja nikutajie: Marekani wanawaza namna gani wataweza kufahamu sayari ya Mars kama ni habitable; Uingereza wanawaza mambo ya Brexit; Ujerumani wanawaza juu ya namna ya kusaidia wahamiaji n.k. Hawa wote hawawazi namna ya kukabiliana na: njaa ya chakula, kukatika kwa umeme, shida ya maji, uhaba wa madawa hospitalini n.k.
 
Wasomi wengi wakiingia kwenye siasa wanakua hovyo wengi wao ni wachumia tumbo na huwawezi kuwakuta wakiwa na nia njema yakulisogeza taifa mbele. Wengi wanaoteuliwa siyo kwa bahati mbaya wanapenda kujipendekeza.
 
Wasomi wengi wakiingia kwenye siasa wanakua hovyo wengi wao ni wachumia tumbo na huwawezi kuwakuta wakiwa na nia njema yakulisogeza taifa mbele. Wengi wanaoteuliwa siyo kwa bahati mbaya wanapenda kujipendekeza.
Na hili ndilo tatizo letu Afrika siasa haichukuliwi kama fani ndio maana wanasiasa wetu wanachukulia siasa kama fursa au elevator kufikia mafanikio binafsi. Siasa inapaswa kuwa taaluma ndio maana kuna elimu ya political science ili kuwaandaa wanasiasa.
 
Back
Top Bottom