Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 503
- 2,045
Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
Unatisha wenzako 😂😂😂Unadhani 10m unaibebq kirahisi namna hiyo???
Vocha unamanisha tunu ya mwiliBasi wote tungeanza kukimbia...
Afrika mashariki hii pesa haipatika in simple way namna hiyo...
Labda uuze vocha
Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
Tait ya mazoezi ni 90k bado kiingilioKiatu cha mazoezi laki TATU mhhh
Hiki ni cha hali ya chini kbsaKiatu cha mazoezi laki TATU mhhh
Picha mkuu unavyojifua!Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
TigoVocha unamanisha tunu ya mwili