Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 658
- 2,189
Endelea kutetea ujinga..Kwa hiyo alichagua matajiri wachache nakuacha wachache?
Wewe binafsi alikupora Bilioni ngapi?
Endelea kutetea ujinga..Kwa hiyo alichagua matajiri wachache nakuacha wachache?
Wewe binafsi alikupora Bilioni ngapi?
Tanzania ni sawa na mtu mwenye kichwa kikubwa kisichokuwa na akili.1. Tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi mbaya. Huu ni uongozi usiojua nini muhimu kufanya kwanza na lipi liwe namba mbili. Baya zaidi wengine katika viongozi kwa kweli hawajui kabisa nini la kufanya.
2. Ili kuendelea lazima viongozi wengi katika serikali wawe na 'exposure' kuwa wameishi nje au wamefuatilia kwa muda mrefu yanayoendelea nje. Ukitazama Rwanda, viongozi wengi wako hivyo, na zaidi ya hayo, raia wengi wameishi nje na kurejea.
3. Weledi wa lugha nyingine. Hii imewasaidia sana Wanyarwanda. Ukifika Rwanda unaweza kuzungumza lugha yeyote ukafahamiwa, Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili.
Hii imeifanya nchi hiyo kuwa rafiki zaidi na wageni wanaomiminika kila siku kutaka kuishi. Hawa wamefanya maisha mjini Kigali yawe 'international' na siyo maisha ya 'kimkoa' kama Dar! Nini la kufanya? Wahimize wananchi wajifunze lugha kuu na wala usizibehue au kuwabehua wanaoweza kuzizungumza! Himiza na toa ruzuku ya kuanzishwa kwa Shule za lugha za jioni kufundisha Kiingereza, Kifaransa, Kichina, kwa bei nafuu. Vijana wengi watumia wakati huo kukaa bwete vigengeni kuzungumza Simba na Yanga tu! Lugha ni ajira.
4. Neno 'dikteta' linatumiwa vibaya Afrika. Mara nyingi katika Afrika dikteta ni kiongozi asiyetaka mchezo, mwenye nidhamu na anayeipenda nchi yake mno, kiasi kwamba wakati mwingine atauwa ili kutimiza nadharia ya maendeleo. Kwa kweli kama Kagame ni dikteta, huo ni udikteta ambao nausapoti. Alipoingia madarakani, miaka 30 tu iliyopita, pato binafsi la Mnyarwanda kwa mwaka lilikuwa dola 350.
Leo pato la Mnyarwanda ni dola 900 likifukuzana na la Tanzania dola 1200 (yategemea source unazozinukuu. Nimenukuu chanzo kinachoipa pato la juu zaidi, ama wengine wanasema ni dola 995).
Rwanda leo ni nchi ya pili rahisi zaidi mtu kufanya biashaa barani Afrika, baada ya Mauritius.
Matumizi ya neno 'dikteta' naona ni mbinu za wale wale watu wetu wasiolitakia bara hili mafanikio. Huwezi kuwasikia wakilalamika juu ya 'udikteta' wa Saudi Arabia, Misri au Bahrain.
Kwa vyovyote vile, hakuna nchi hata moja iliyoendelea kwa Demokrasia. Nchi zote zilizoendelea, ikiwemo Marekani, Uingereza, Japan, Ufaransa zilipitia na kuendelea kwa udikteta. Hapa napenda nifahamishe kuwa kuna tofauti baina ya 'Udikteta' na "ukatili" Ingawaje dikteta mara nyingine hutumia ukatili, hii huwa ni kwa sababu za msingi.
Katili anafanya ukatili bila ya sababu ya maana, na aghalabu hufanya hivyo dhidi ya maslahi yake mwenyewe na ya nchi.
Nchi ningi Afrika hazina 'Madikteta' zina watu makatili. Dikteta huchukizwa na hali waliyomo watu wake, ama katili huchukizwa na watu wake!
Wewe unajadili hii ishu kwa hisia badala ya facts...Kwa hiyo alichagua matajiri wachache nakuacha wachache?
Wewe binafsi alikupora Bilioni ngapi?
Nimeona blah blah na neno Mbowe sijui uVCCM hakuna ulichoandika.Wewe unajadili hii ishu kwa hisia badala ya facts...
BTW, hoja yako nini hasa hapa..?
Je, unataka kutuambia kuwa utawala wa hayati Magufuli haukupora watu (matajiri) wasio wa itikadi sawa na yake fedha kibabe..?
M/kiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe ni mmoja wa walioporwa na alisema hili hadharani yeye mwenyewe mbele ya TV cameras...
Najua utasema, huyo alikuwa mwizi wa pesa za ruzuku za CHADEMA (maana ndio wimbo wa uVCCM). Na kama unadhani hivyo, basi nasikitika kukusema kuwa, wewe utakuwa MJINGA kwelikweli kwa sababu umvivu wa kutafuta facts bali unapenda udaku..!
Again, kwani wezi hupelekwa wapi? Si mahakamani? Kama aliowapora fedha wangekuwa wezi, kwanini hawa kupelekwa mahakamani, washitakiwe na kisha serikali ichukue kihalali kilichoibwa..?
Ndio, kwa upande wa kufundisha lugha WANYARWANDA huwa wapo vizuri sana na mimi BINAFSI nilishawahi kukutana na WANYARWANDA wanaotumia zaidi ya LUGHA NNE za KIMATAIFA.Ndiyo maana OP kasema kuwe na madarsana hata ya jioni ya kujifunza lugha. Mwisho kabisa OP kasema LUGHA NI AJIRA
Aisee umesema kweli tupu! Nchi hii ni mavichwa makubwa wanachojua ni wizi tu! Tuhamie Burundi! Mavichwa hayana hata aibu!Tanzania ni sawa na mtu mwenye kichwa kikubwa kisichokuwa na akili.
Mr. Illmatic, You a problem to yourself...Nimeona blah blah na neno Mbowe sijui uVCCM hakuna ulichoandika.
Ukiwa na hela zako clean hakuna atakayekugusa. ( hii ndio hoja yangu, kama bado unataka kujua nachotetea ni nini).
Hayo mengine hayanihusu mimi.
Kwa hali hii itatuchukua karne nyingi kutoka hapa tulipo kusonga mbele. Shida viongozi walio wengi wanatokana na system ya uongozi kwa maana ya kwamba kama kuna mtu wa kukushika mkono kwenye siasa za nchi hii basi kuna siku utaukwaa uongozi. Tumeshuhudia kipindi fulani uongozi ulikuwa ni takrima, kulipa fadhila kiasi kwamba kuchonga mdomo na kujikomba kumezalisha viongozi wa aina yake.1. Tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi mbaya. Huu ni uongozi usiojua nini muhimu kufanya kwanza na lipi liwe namba mbili. Baya zaidi wengine katika viongozi kwa kweli hawajui kabisa nini la kufanya.
2. Ili kuendelea lazima viongozi wengi katika serikali wawe na 'exposure' kuwa wameishi nje au wamefuatilia kwa muda mrefu yanayoendelea nje. Ukitazama Rwanda, viongozi wengi wako hivyo, na zaidi ya hayo, raia wengi wameishi nje na kurejea.
3. Weledi wa lugha nyingine. Hii imewasaidia sana Wanyarwanda. Ukifika Rwanda unaweza kuzungumza lugha yeyote ukafahamiwa, Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili.
Hii imeifanya nchi hiyo kuwa rafiki zaidi na wageni wanaomiminika kila siku kutaka kuishi. Hawa wamefanya maisha mjini Kigali yawe 'international' na siyo maisha ya 'kimkoa' kama Dar! Nini la kufanya? Wahimize wananchi wajifunze lugha kuu na wala usizibehue au kuwabehua wanaoweza kuzizungumza! Himiza na toa ruzuku ya kuanzishwa kwa Shule za lugha za jioni kufundisha Kiingereza, Kifaransa, Kichina, kwa bei nafuu. Vijana wengi watumia wakati huo kukaa bwete vigengeni kuzungumza Simba na Yanga tu! Lugha ni ajira.
4. Neno 'dikteta' linatumiwa vibaya Afrika. Mara nyingi katika Afrika dikteta ni kiongozi asiyetaka mchezo, mwenye nidhamu na anayeipenda nchi yake mno, kiasi kwamba wakati mwingine atauwa ili kutimiza nadharia ya maendeleo. Kwa kweli kama Kagame ni dikteta, huo ni udikteta ambao nausapoti. Alipoingia madarakani, miaka 30 tu iliyopita, pato binafsi la Mnyarwanda kwa mwaka lilikuwa dola 350.
Leo pato la Mnyarwanda ni dola 900 likifukuzana na la Tanzania dola 1200 (yategemea source unazozinukuu. Nimenukuu chanzo kinachoipa pato la juu zaidi, ama wengine wanasema ni dola 995).
Rwanda leo ni nchi ya pili rahisi zaidi mtu kufanya biashaa barani Afrika, baada ya Mauritius.
Matumizi ya neno 'dikteta' naona ni mbinu za wale wale watu wetu wasiolitakia bara hili mafanikio. Huwezi kuwasikia wakilalamika juu ya 'udikteta' wa Saudi Arabia, Misri au Bahrain.
Kwa vyovyote vile, hakuna nchi hata moja iliyoendelea kwa Demokrasia. Nchi zote zilizoendelea, ikiwemo Marekani, Uingereza, Japan, Ufaransa zilipitia na kuendelea kwa udikteta. Hapa napenda nifahamishe kuwa kuna tofauti baina ya 'Udikteta' na "ukatili" Ingawaje dikteta mara nyingine hutumia ukatili, hii huwa ni kwa sababu za msingi.
Katili anafanya ukatili bila ya sababu ya maana, na aghalabu hufanya hivyo dhidi ya maslahi yake mwenyewe na ya nchi.
Nchi ningi Afrika hazina 'Madikteta' zina watu makatili. Dikteta huchukizwa na hali waliyomo watu wake, ama katili huchukizwa na watu wake!
WanajitambuaViongozi wetu hawajielewi Kama Ni viongozi au laa! wapo wapo tu wanazidiwa akili na mama ntilie.
Kazi kuibia wananchi
Na sisi wananchi tupotupo tu Kama punda tunabebeshwa mamizigo ya tozo zinazoishia mifuko ya hao mabwanyenye.
Kiufupi hili taifa Lina mambo ya ajabu sana.
Unatumia pesa nyingi kusomesha mtu bado unamnyima ajira.
Unatengeneza miradi ya pesa nyingi Cha ajabu unashindwa kuisimamia.
Kwa hiyo Rwanda wanazidi Tanzania mafanikio siowanasema Rwanda inaiba rasilimali za Congo ndo maana uchumi wake pamoja na nchi inakimbia kimaendeleo,wakati huo Rais Samia anasema Tanzania tuna madini mengi mpaka mengine hatujui yanaitwaje na bado tupo tupo tu yani.
Rwanda wana GDP ya 12 bilioniwanasema Rwanda inaiba rasilimali za Congo ndo maana uchumi wake pamoja na nchi inakimbia kimaendeleo,wakati huo Rais Samia anasema Tanzania tuna madini mengi mpaka mengine hatujui yanaitwaje na bado tupo tupo tu yani.
unasema Rwanda inamaendeleo kwasababu ni ndogo sana,udogo sio sababu mkuu zipo nchi nyingi ndogo lakini hazina maendeleo ukilinganisha na ustawi wa nchi ndogo ya Rawanda.Rwanda wana GDP ya 12 bilioni
Uku Tanzania 65
Wanani wana maendeleo zaidi
Sema Rwanda unaona ina maendeleo kwasababu ni ndogo saana na population yake ni ndogo zaidi ya Tanzania