torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,869
- 9,551
sawaHii sio kweli,umeandka pumba kabsa, Kama huna point mngekuwa mnakaa kimya tu
sawaHii sio kweli,umeandka pumba kabsa, Kama huna point mngekuwa mnakaa kimya tu
Mwambie huyo jomba kujiua sio suluhisho mbona mbunye nyingi tuu kwanini ajiue kwa sababu ya mwanamke mmoja Kati ya wanawake mamilioni waliopo hapa duniani hayo Ni matumizi mabaya ya akili.Acha wenge ashaolewa we endelea na maiaha yako ujiue wakati unamwacha kwa dunia. Angekuwa kafa ningesema labda mtakutana huko sasa ujiue ili iweje?
ushaur wa kibabe sana huuTumia huo uchungu kutafuta hela, ili uoe pisi kali zaidi
mwamba akipitia huu ushauri atajiona shujaa dadadeq!Achana nao...na ufanye mambo mengine...hao ndugu wa huyo binti kimanzi walikukataa kwa sababu huna kitu...umefulia huna hata mia..wewe ni kapuku, wewe ni lofa..umepaukiana,unaonekana una njaa, umechoka umechakaa.....kenge ni kenge tu huwa hakubali mpaka atoe damu.unachokitafuta utakipata..tafutaa hela weweeeeeee..mwenye pesa hakataliwi ukweni hata uwe mpagani...
Good comment, badala ya kulia lia atafte pesa tuTumia huo uchungu kutafuta hela, ili uoe pisi kali zaidi
Habari ndugu na jamaaa wote,
Naombeni msaada wa kiakili na kimwili hadi kiroho kuna bint nlimpenda na yeye akanionyesha upendo wajuu sana. Ilipo fikia hatua yakutaka kuoana hapo ndio ikawa tofauti sana kwao hawakunikubali kabisa, tulijaribu kulipigania penzi letu lakini nikashindwa, naikupita muda binti akaozeshwa mtu mwingine.
Ni miezi mitano sasa tangu aolewe lakini nafsi haikubali kuamini kama hayupo kwangu tena nimekua najichukia nakujiona kama kitu na sio mtu sina raha kabisa natamani mauti yanifike.
Nifanye nini ili niwe huru? Sitamani hata kuwa tena na Mwanamke. Nifanye nini kuondoa hali hii?