Nifanye nini ili niwe huru? Sitamani hata kuwa tena na Mwanamke

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Habari ndugu na jamaaa wote,

Naombeni msaada wa kiakili na kimwili hadi kiroho kuna bint nlimpenda na yeye akanionyesha upendo wajuu sana. Ilipo fikia hatua yakutaka kuoana hapo ndio ikawa tofauti sana kwao hawakunikubali kabisa, tulijaribu kulipigania penzi letu lakini nikashindwa, naikupita muda binti akaozeshwa mtu mwingine.

Ni miezi mitano sasa tangu aolewe lakini nafsi haikubali kuamini kama hayupo kwangu tena nimekua najichukia nakujiona kama kitu na sio mtu sina raha kabisa natamani mauti yanifike.

Nifanye nini ili niwe huru? Sitamani hata kuwa tena na Mwanamke. Nifanye nini kuondoa hali hii?
 
Acha wenge ashaolewa we endelea na maiaha yako ujiue wakati unamwacha kwa dunia. Angekuwa kafa ningesema labda mtakutana huko sasa ujiue ili iweje?
 
muda utakuponya na kama alikuwa mtu sahihi atarudi kwako tu ni swala la muda. kwa sasa endelea na maisha mengine
 
Pole Jamani..
Mwenye kujua password ya mapenzi aitoe huku ndugu yetu Hali si shwari.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Subiri subiri kidogo tuone kama mauti yatakufika,yasipokufika tutajua cha kufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom