Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki 5 na bodaboda mpya?

Duh mwamba ile kaz kipaji. Kupaka wanavyopaka lazima uwe artist
Wanakufundisha wenyewe wanawake nipake hivi.
Ila yataka moyo wanakaa uchi tv unaangalia live.
Kwa kucha vile,sijui wale wanaofanya kazi ya kuwanyoa Pana wake wamepinda hata kujinyoa hawawezi wanataka msaada saluni
 
Dah bora ya kunyoa ipo vizuri mtaji kiwembe
 
Nilikutana huyu jamaa wilaya mmoja:

Yeye ni boda, anapaka kucha rangi, anasuka rasta, anauza rasta pia ni dalali wa madem.

Akaniambia akimpeleka dem, ukiacha hela ya nauli, ya udalali ni buku 5 hadi 10. Kwa siku hakosi hata deals mbili. Nilicholearn, location ya kijiwe chake inamfavour kwani ana access na wateja wa 'kiofisi zaidi' na wageni wa mji. Pia ni very smart yule dogo.

so, nilijifunza kuna mengi unaweza yafanya ukiwa bodaboda tu, muhimu uwe street smart!
 
Uza kitimoto ukitega mitaa ya Retco pale au pale club VIP pale mdudu anatafutwa sana halafu kuna washua hawapendi kwenda kule vibanda vya sisiemu kumekaa ki local sana hvyo mitaa hyo lazima utusue chap
 
Thanks man. Vip pale stand ya dodoma? Niliwaza pale
 
Achana na stress za mabiashara Kwanza wewe ni mfanyakazi.
Nunua masufuria makubwa ya kupika shughulini na maturubai na viti.
Weka home Kisha tangaza unakodisha ,maharusi au misibani n.k
Biashara Haina hasara Wala Kodi ya frem.
Ukitaka kupanua biashara ongeza vifaa vingine vya catering
 
Bei ya turubali waifahamu
 
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi nina mtaji wa laki tano na boda mpya Iringa. Nifanye biashara gani nipate hata elfu 30 kwa siku? Msaada wenu.
Piga dili za ulanzi na komoni unakuwa supply cum distributor
 
Back
Top Bottom