Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki 5 na bodaboda mpya?

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
354
277
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi nina mtaji wa laki tano na boda mpya Iringa. Nifanye biashara gani nipate hata elfu 30 kwa siku? Msaada wenu.
 
nenda kwenye maduka ya jumla hapo mjini chukua vitu Kama makufuli dozen kadhaa unaweza chukua kwa dozen elf 14000 we utaenda uza kwa dozen elf 16 had 17
chukua Big g za jumla ongeza na pipi kila aina
mikasi
nyembe
super black
Sox za shule na za kawaida
miswaki.

yaan unadili na vitu Kama hivyo funga mzigo weka wese kwenye pikipiki Zama machimbo ya uko pembezoni mwa mji pita duka Hadi duka Nadi bidhaa zako huwezi kosa hela kila dozen ya bidhaa hukosi 1000 Hadi buku 2000 so ukiuza bidhaa tano duka moja tayal unabuku tano yako hivyo hivyo nenda dukan jingine.

kikubwa angalia bidhaa yenye uhitaji fanya uchunguzi kabla hujaingia site tembelea maduka ya jumla yenye vitu Kama nilivyokuambia ukiza Bei zake unanunuaje unauzaje Kisha piga hesabu zako.

pambana haswaa
 
tafuta sehemu wanauza burner au mafiga ya gas zungusha sehemu wanazouza gas au wanaobadilisha gas tufanye hivi kila burner bei ya jumla ni 2800 uza 3500 chukua 50 na mafiga bei 3300 uza 4000 kumbuka hiyo ni kazi ambayo ukipata jina unaweza kuuza hata burner 200 kwa siku au mafiga 50 sorry kama ushauri wangu sio rafiki
 
kwenye mzigo wako ongeza balbu
mashine za kunyolea ndevu
dawa za meno Kama colget whitedent
oyaa mzeee utajiongeza na vingne kulingana na uhitaji wa solo lako
 
tafuta sehemu wanauza burner au mafiga ya gas zungusha sehemu wanazouza gas au wanaobadilisha gas tufanye hivi kila burner bei ya jumla ni 2800 uza 3500 chukua 50 na mafiga bei 3300 uza 4000 kumbuka hiyo ni kazi ambayo ukipata jina unaweza kuuza hata burner 200 kwa siku au mafiga 50 sorry kama ushauri wangu sio rafiki
Thanks
 
nenda kwenye maduka ya jumla hapo mjini chukua vitu Kama makufuli dozen kadhaa unaweza chukua kwa dozen elf 14000 we utaenda uza kwa dozen elf 16 had 17
chukua Big g za jumla ongeza na pipi kila aina
mikasi
nyembe
super black
Sox za shule na za kawaida
miswaki.

yaan unadili na vitu Kama hivyo funga mzigo weka wese kwenye pikipiki Zama machimbo ya uko pembezoni mwa mji pita duka Hadi duka Nadi bidhaa zako huwezi kosa hela kila dozen ya bidhaa hukosi 1000 Hadi buku 2000 so ukiuza bidhaa tano duka moja tayal unabuku tano yako hivyo hivyo nenda dukan jingine.

kikubwa angalia bidhaa yenye uhitaji fanya uchunguzi kabla hujaingia site tembelea maduka ya jumla yenye vitu Kama nilivyokuambia ukiza Bei zake unanunuaje unauzaje Kisha piga hesabu zako.

pambana haswaa
Thanks
 
sambaza sigara madukani,kachomele box zuri funga nyuma ya pikipiki nunua mzigo wa jumla peleka maduka stoo ya mzigo ni nyumbani kwako huna cha kodi apo
 
nenda kwenye maduka ya jumla hapo mjini chukua vitu Kama makufuli dozen kadhaa unaweza chukua kwa dozen elf 14000 we utaenda uza kwa dozen elf 16 had 17
chukua Big g za jumla ongeza na pipi kila aina
mikasi
nyembe
super black
Sox za shule na za kawaida
miswaki.

yaan unadili na vitu Kama hivyo funga mzigo weka wese kwenye pikipiki Zama machimbo ya uko pembezoni mwa mji pita duka Hadi duka Nadi bidhaa zako huwezi kosa hela kila dozen ya bidhaa hukosi 1000 Hadi buku 2000 so ukiuza bidhaa tano duka moja tayal unabuku tano yako hivyo hivyo nenda dukan jingine.

kikubwa angalia bidhaa yenye uhitaji fanya uchunguzi kabla hujaingia site tembelea maduka ya jumla yenye vitu Kama nilivyokuambia ukiza Bei zake unanunuaje unauzaje Kisha piga hesabu zako.

pambana haswaa
Thread closed.....
 
Fanya shughuli za kuwatengeneza kucha wanawake sababu una pikipiki popote ukiitwa unafika ukosi elf 50 kwa siku
 
Back
Top Bottom