Niende kiwanja gani Tabata Ijumaa Leo?

Ama nianzie 40/40 pale Tabata Bima ama The great park pale Barakuda ama Kwetu pazuri ingawa haina shangwe now days ama Makhirikhiri kule Kinyerezi?

Ungana nami jioni ya Leo nikiwa Tabata kwa wala bata.

Daa nimesahau Mikasa lounge!
GREENLAND AU NEW ITALIANO
 
Top Garage hapo.
Watoto wa Mbezi ndo kwao. Kuna ka club kwa ndani huwa panakuwa na strippers. Ila sijawahi kuingia :cool:
Anazungumzia China bar ndio vijana wengi!Top G imepoa kiasi na hiyo club unayo itaja hai function nadhani!
 
huku jf kumbe raia wote wa tabata bwana sijaona mtu wa the pallet hapa

Tabata siku hizi imekuwa na fujo sana. Raia wa kila aina. Mabaamedi wenyewe wezi.

Kama hawajakuzoea ukiagiza bia unatakiwa umkariri mhudumu.
 
viwanja vingi yebo yebo kama vipi hivi vinajulikana kwa wajanja tu chagua moja uwe umejiachia juu ya GHOLOFA mkipati DREAM NIGHT ama ukizama kigamboni NO WAY OUT BANG hizo ni mpyaa sema kuna boare mastaa wengi na mtonyo mwingi
 
Back
Top Bottom