NIDA kusitisha matumizi ya namba za walioususia kuchukua vitambulisho vyao

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
904
3,352
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepanga kusitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya taifa kuanzia tarehe 1 Mei mwaka huu kwa wananchi waliotumiwa ujumbe wa kuchukua vitambulisho vyao lakini hawakufanya hivyo.

Akizungumza leo kutoka ofisini kwake, Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, amesema kuwa hali ya wananchi kujitokeza kuchukua vitambulisho ni ya kusikitisha licha ya juhudi kubwa za kuwatumia ujumbe mfupi kuwafahamisha mahali pa kuchukua vitambulisho hivyo.

"Inasikitisha sana, tumekuwa tukituma ujumbe mfupi kwa wananchi kuwaelekeza ni mahali gani waende kuchukua vitambulisho vyao lakini idadi ni ndogo sana.

"NIDA tumeamua kuwa tutasitisha matumizi ya namba za vitambulisho, kwa wale wote ambao wameshatukiwa vitambulisho lakini hawajachukua,"
amesema Kaji.

Katika maelezo yake, Kaji pia aligusia kuwa NIDA ipo karibu kukamilisha mfumo mpya wa usajili ambao utawezesha kusajili watu kuanzia utotoni, hatua inayolenga kuboresha zaidi utambuzi wa wananchi tangu awali.
 
Huyo alietoa hilo agizo akapimwe akili!, imetumika pesa nyingi na muda ktk kutekeleza hilo zoezi halafu mnakuja kusitisha kiurahisi!, kama hamuwezi pelekeni hivyo vitambulisho kwa wenyekiti wa mtaa halafu watu watavifata huko tena ikibidi wavifate kwa kutozwa faini na sio hiyo njia yenu yakusitisha!, mnataka kukwamisha bure mambo ya watu ni kama vile hamjui umuhimu wa hivyo vitambulisho!... kwanza vitunzeni tu si vya wananchi wenu...🤣
 
Katika maelezo yake, Kaji pia aligusia kuwa NIDA ipo karibu kukamilisha mfumo mpya wa usajili ambao utawezesha kusajili watu kuanzia utotoni, hatua inayolenga kuboresha zaidi utambuzi wa wananchi tangu awa
 
Huyo alietoa hilo agizo akapimwe akili!, imetumika pesa nyingi na muda ktk kutekeleza hilo zoezi halafu mnakuja kusitisha kiurahisi!, kama hamuwezi pelekeni hivyo vitambulisho kwa wenyekiti wa mtaa halafu watu watavifata huko tena ikibidi wavifate kwa kutozwa faini na sio hiyo njia yenu yakusitisha!, mnataka kukwamisha bure mambo ya watu ni kama vile hamjui umuhimu wa hivyo vitambulisho!... kwanza vitunzeni tu si vya wananchi wenu...🤣
Yaani sisi ni wananchi wao, mambo madogo yanawasumbus.

Nida niliandikishaga Iringa, sms zinasema niende somewhere Dar,Ubungo.

Nipo Singida, naendaje jmn kisa ID.

Watunze tu
 
Mhh hiini kali kiukweli walio wengi naomba zao hawazipati nasio kuwa hawazitaki hakuna raia aliye poteza MDA wae kujiandikisha na kuhangaika juani alaf aka kataa kitambulisho chake na haliyakua ajua Faida na umuhim wake, kwanza fatilia taraibu zinazo tumika kuwafikishia wanachi NAMBA ZAO KABLA Hamjafanya maamuzi.
 
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepanga kusitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya taifa kuanzia tarehe 1 Mei mwaka huu kwa wananchi waliotumiwa ujumbe wa kuchukua vitambulisho vyao lakini hawakufanya hivyo.

Akizungumza leo kutoka ofisini kwake, Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, amesema kuwa hali ya wananchi kujitokeza kuchukua vitambulisho ni ya kusikitisha licha ya juhudi kubwa za kuwatumia ujumbe mfupi kuwafahamisha mahali pa kuchukua vitambulisho hivyo.

"Inasikitisha sana, tumekuwa tukituma ujumbe mfupi kwa wananchi kuwaelekeza ni mahali gani waende kuchukua vitambulisho vyao lakini idadi ni ndogo sana.

"NIDA tumeamua kuwa tutasitisha matumizi ya namba za vitambulisho, kwa wale wote ambao wameshatukiwa vitambulisho lakini hawajachukua,"
amesema Kaji.

Katika maelezo yake, Kaji pia aligusia kuwa NIDA ipo karibu kukamilisha mfumo mpya wa usajili ambao utawezesha kusajili watu kuanzia utotoni, hatua inayolenga kuboresha zaidi utambuzi wa wananchi tangu awali.
Fanyeni vile akili zenu zinavyowatuma kenge nyinyi
 
Back
Top Bottom