Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Aug 13, 2019
965
1,347
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)

Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and Entomology
2. Molecular biology and Biotechnology
3. Cell biology and Genetic
4. Developmental biology
5. Ecology
6. Environmental science
7. Vertebrates Biology

LENGO LANGU KUU NIKUA ASSISTANT LECTURER KWAHYO NAOMBA USHAURI WENU TUKIZINGATIA SOKO NA MAHITAJI

ASANTENI
 
Yani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako

Ni aibu sana kuwa na elimu kubwa ambayi ujaitumikia

Ni aibu sana kujiita mwalimu wakati huna wanafunzi na maana ujawahi fundisha mwanafunzi, yani uko mtaani hakuna mwanafunzi wenye cheti ambaye anajua kabisa hii alama ya A ya Biology ni mchango wa mwalimu X
 
Kwa%100 wewe utakua ni mtoto wa mkulima peasant.
 
hujapiga veterinary medicine na bado unataka masters ya parasitology ikupe nafasi ya kulecture kweli? jitafute kwanza upate uelekeo.....to be honest kufanya masters kabla hujapata ajira aukafanya kazi iwe private au serikalin huwezi jua hasa unachokisomea kinakupeleka wapi

kama unaham ya masters tafuta ya hizo hizo education itajakubeba mahala
 
Veterinary medicine inahusiana vipi na masters ya parasitology, mbna unalopokwa?
 
Yani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako

Ni aibu sana kuwa na elimu kubwa ambayi ujaitumikia

Ni aibu sana kujiita mwalimu wakati huna wanafunzi na maana ujawahi fundisha mwanafunzi, yani uko mtaani hakuna mwanafunzi wenye cheti ambaye anajua kabisa hii alama ya A ya Biology ni mchango wa mwalimu X
Mkuu acha hii kitu acha kabisa..Mwache jamaa akasome masters kama ana nia ya kufanya hivyo.Nina jamaa yangu miaka miwili nyuma alimaliza bachelor ya ualimu kama huyu kijana na akaunga masters bila kupoa.Wakati yupo chuoni wakatangaza nafasi za tutorial akapewa kipaumbele,na sasa ameshapandishwa kua assistant lecturer na amepewa barua ya kwenda kusoma PHD nchi yoyote ndani ya miaka mitatu.
 
Asante kaka
 
Yani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako

Ni aibu sana kuwa na elimu kubwa ambayi ujaitumikia

Ni aibu sana kujiita mwalimu wakati huna wanafunzi na maana ujawahi fundisha mwanafunzi, yani uko mtaani hakuna mwanafunzi wenye cheti ambaye anajua kabisa hii alama ya A ya Biology ni mchango wa mwalimu X
Unauhakika sjawahi fundisha na sjui nature ya wanafunzi au unaongea Kwa jinsi unavofikiria
 
Veterinary medicine inahusiana vipi na masters ya parasitology, mbna unalopokwa?
parasitology, the study of animal and plant parasitism as a biological phenomenon. Parasites occur in virtually all major animal groups and in many plant groups, with hosts as varied as the parasites themselves.

Pale SUA huwezi kupewa nafasi to lecture Parasitology kama hujala BVM
 
Kwa%100 wewe utakua ni mtoto wa mkulima peasant.
Na bila kukupesa macho ametoka kwenye umaskini mkubwa Sana huko kwao na hata Hilo wazo la kusoma masters kwake ni ndoto ya kutisha (ghost nightmare)
Sijawah kuona mwalimu aliyetoka kwenye familia nzuri inayojiweza
Na familia nzuri zinazojiweza kwao kusoma course ya ualimu ni laana tu na sio fantasies zao
Yaan ni kama kumkuta muhindi au ,muarabu mtanzania anasomea ualimu au umkute jeshini Ili apate nin ?

Mdogo wangu aache kujipa illusion za kiboss maliza shule urudi kijijini kwenu ukaisaidie jamii Yako kutoka kwenye kilindi Cha ufukara
 
Back
Top Bottom