Mimi nadhani ni uelewa mdogo miongoni mwetu sisi watanzania. Kama mtoaji huduma za network ni mwingine wao wanatakiwa wamuwajibishe mtoaji huduma. Kuna mambo sisi tunachukulia poa ila kwa Nchi za wenzetu hakuna huu upuuzi, ndio maana wenzetu unaona mtu anaenda kushtaki na kudai fidia kibao kwa jambo ambalo sisi tunaona kawaida.Nguvu ya kuwashitaki ilikuwepo kama una tuma CRDB kwenda CRDB.
Unaweza sema tatizo la crdb, kumbe ni la benki nyingine.
Pia usisahau Kuna mikataba mingi kwenye haya mashirika/makapuni makubwa. unaweza kukuta mtoaji wa huduma za network ni kampuni nyingine na iko labda England so ukifungua kesi jiandae kwa ghaama kubwa ya pesa na muda, na ukaja daiwa fidia wewe.
Siyo equity ya zanzibar, Kuna wafanyakazi hata kusoma kilichoandikwa wakaelewa ni mtihani. Yaani wameniudhi sana halafu wana majibu ya hovyo wakiona wewe siyo mwarabu.Benk za kueleweka ni equity ,FnB
Tulia uandike vizuri, una 100000 unatoaje 650000?Juzi, nmetoa fedha benki, Salio lilisoma laki moja kabla sijaanza kutoa kidogokidogo..nikatoa 10000 Kisha baadae nikatoa 20000 Kisha nikatoa 10000 Kisha nikatoa 25000 baadae ya nikaambiwa Salio langu ni elfu mbili tu baada ya kuangalia Salio
Kwa hiyo ukiwa na 100000 ukatoa 650000 gharama ya tozo na ada za benki ni 350000 (2000)
Jaman huu ni wizi, ni wizi wa adharani anayeiba sasa daaahsijui tunakimbilia wapi
Mchele 3500 @ 1kg
Unga 2200@1kg
Yaaani yaaani daaah
Nchi za wenzetu wana hii 'Customer Service Agreement'Mimi nadhani ni uelewa mdogo miongoni mwetu sisi watanzania. Kama mtoaji huduma za network ni mwingine wao wanatakiwa wamuwajibishe mtoaji huduma. Kuna mambo sisi tunachukulia poa ila kwa Nchi za wenzetu hakuna huu upuuzi, ndio maana wenzetu unaona mtu anaenda kushtaki na kudai fidia kibao kwa jambo ambalo sisi tunaona kawaida.
Nguvu ya kuwashitaki ilikuwepo kama una tuma CRDB kwenda CRDB.
Unaweza sema tatizo la crdb, kumbe ni la benki nyingine.
Pia usisahau Kuna mikataba mingi kwenye haya mashirika/makapuni makubwa. unaweza kukuta mtoaji wa huduma za network ni kampuni nyingine na iko labda England so ukifungua kesi jiandae kwa ghaama kubwa ya pesa na muda, na ukaja daiwa fidia wewe.
Jamaa hua anazunguka na Rais kwny kila ziara mpk unajiuliza huyu Jamaa Ni mtumishi wa serikali au?Toka aondoke kimei crdb imekuwa ya kipumbuvu sana
Huyu mkurugenzi mpya ataiua hii benki akiendelea kuwepo pale
Acha weendelee kutangaza faida za uongo
Mkuu wafanyakazi watakuwa wazanzibari mkuu elimu kwao ni mbingu na ardhi.Siyo equity ya zanzibar, Kuna wafanyakazi hata kusoma kilichoandikwa wakaelewa ni mtihani. Yaani wameniudhi sana halafu wana majibu ya hovyo wakiona wewe siyo mwarabu.