Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi .
Saint Ivuga - huyu member huyu alikua na mambo ya ajabu sana kwa kupenda kuleta private issues jukwaani kitu ambacho nadhani si kizuri na ndiomana ikaitwa private message ( pm) na alikua na blah blah nyingi za kichonganishi lakini sikuhiz naona ameanza kubadilika. Safi.
Daby - Huyu nimpongeze kwa kwa kuwashika wadada kupitia hio Avatar yake inawashikaaa ndomana amekua sukari ya warembo MMU
Pia kwa Daby anaonekana kuongea na kila mtu kuchat na kila mtu kutaniana na kila mtu kaka wa watu hana mashauzi. Big up bro.
Wengine..........................
Nitarudi.
Hii ni chitchat jamani.
Karibuni katika nichane day.