SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
- Thread starter
- #21
KIJANA MDOGO!!!!!!!!!!!!!!!!!Huna lolote ! Vijana wadogo mmejaa uchumia tumbo na unafiki tupu , mtu kama wewe ukizeeka ni lazima uwe mchawi tu .
natamani ningekuwa bado kijana mama, lakini ndo haiwezekani tena.
cha msingi ni kwamba huku ufipa bwana mashinji kapwaya mbaya, hata vyombo vya habari havimpi attention