Tajiri wa Babeli
Senior Member
- Feb 18, 2014
- 125
- 51
Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
Ongea na viwanda watakupa utaratibu unaletewa mpaka mlangoni.Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
Chukua pakti huenda ina mawasiliano au nenda google and TCCL info au aboutHabari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
😄😄Nikajua ni ile Sigara pori.
Hata mabango ya Kampuni za sigara vipiHabari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
Duh sh mil 100 mbona pesa ndefu sanaMchakato wake hadi uwe wakala ni mrefu kidogo. Cha kufanya kwa sasa kama una mtaji usiopungua Millioni mia moja waone wanakuletea kabisa hapo ukishakuwa mzoefu kuna jinsi wanakuwezesha
safi sana biashara ya hela iyo watu anakula mufe hatari,Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
Milioni 100 kwa kuuza hizi fegi tu za sh 50.Mchakato wake hadi uwe wakala ni mrefu kidogo. Cha kufanya kwa sasa kama una mtaji usiopungua Millioni mia moja waone wanakuletea kabisa hapo ukishakuwa mzoefu kuna jinsi wanakuwezesha
Wawa uliwaza kwa vile sigara zinauzwa mia mbili kampuni yake niyakiwaki TCC ndo kampuni inaongoza kulipa kodi kubwa nchini kwahyo hapo mkoani nenda kwenye ofisi zao watakupa utaratibu ila mtaji lazima uwe mkubwa kwelikweli.Duh sh mil 100 mbona pesa ndefu sana
Alafu c gobore Sasa mkuu n SMG 😅safi sana biashara ya hela iyo watu anakula mufe hatari,
ukiona mzigo unashushwa halafu pembeni kuna Bunduki ulinzi wa kutosha jua hapo kuna hela.
ni kwa sababu hujui tu Catton moja ya sigara si chini ya Milioni 25. sasa ukichukua wastan wa catton nne ni milioni mia moja. na kimsingi unatakiwa uchukue SM, SPORT, WINSTON, WINSTON SM, kALI, EMBASY N.K ambazo ni catton 7 usije ukazichukulia feg kirahisi rahisi mkuu.Milioni 100 kwa kuuza hizi fegi tu za sh 50.
Angekua na mil 100 asingeulizia biashara ya sigara.
Huyo ana 10000-100,000
Catton moja ya sigara inafika 25M na kama unauza za jumla inatakiwa uchukue angalau catton saba kwa kuanzia. Yaani kila aina ya sigara uchukue catton mojaDuh sh mil 100 mbona pesa ndefu sana
Acha uongo mkuu.Catton moja ya sigara inafika 25M na kama unauza za jumla inatakiwa uchukue angalau catton saba kwa kuanzia. Yaani kila aina ya sigara uchukue catton moja
catton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia MojaAcha uongo mkuu.
Kwan carton moja ina sigara ngap....?
Answer:A carton usually contains 10 packs and 200 cigarettes.
Hiwez kusema 200 sigara ziuzwe million 25
Acha uongo mkuu.
Kwan carton moja ina sigara ngap....?
Answer:A carton usually contains 10 packs and 200 cigarettes.
Hiwez kusema 200 sigara ziuzwe million 25
catton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia Moja. Hiyo biashara nimefanya sana mkuu miaka fulani hivi ila naambiwa sasa hivi imepanda inafika kwenye 40M Kwa cartonAcha uongo mkuu.
Kwan carton moja ina sigara ngap....?
Answer:A carton usually contains 10 packs and 200 cigarettes.
Hiwez kusema 200 sigara ziuzwe million 25