Kwa kile kinacho endelea Marekani niwakati WA Tanzania na nchi za Afrika kutoa angalizo kwa Raia wake kuitembelea Marekani.
Mara kwa Mara nchi za hawa watu niwepesi kutoa angalizo kwa raia wake pindi tu kunapo tokea hali tofauti hasa nchi za Afrika, kwanini sisi!;?
Mpaka kufikia sasa
Tayari nchi kama Bahrain, Bahamas na New Zealand zimefanya hivyo
Sisi kimya kulikoni.
Mie naona hii inapelekea kuonekana hatujipendi, tunaburuzwa, hatuna maamuzi magumu .
Kila kona sasahivi Raia wa Marekani anatembea na Bunduki
Hii ni hatari sanasana
Mauaji ya weusi yanaongezeka kila kukicha
Lete takwimu ili angalizo liwe na uzito. Ni asilimia ngapi ya wamarekani wameuawa na wamarekani ukilinganisha na asilimia ya watanzania wanaouawa na watanzania. Ni asilimia ngapi ya watanzania walioko marekani wanakufa kwa siku kwa kuuawa na wamarekani?
Acheni mbwembwe.
Marekani is not a place.
Watanzania kama wangekuwa wanaweza kuja Marekani bila viza na nauli wanayo zaidi ya nusu ya nchi inehamia Marekani.
Heshimu Utawala wa Taifa huru kama Tanzania
More than 32,000 people per year are killed by guns in the United States — at least.
More Young Americans Now Die From Guns Than Cars
1,000 mass shootings in 1,260 days: this is what America's gun crisis looks like
1,000 mass shootings in 1,260 days: this is what America's gun crisis looks like
For the first time in more than 60 years, firearms and automobiles are killing Americans at an identical rate, according to new mortality data released this month by the Centers for Disease Control and Prevention (CDC).
Guns are now killing as many people as cars in the U.S.
The U.S. represents less than 5% of the 7.3 billion global population but accounted for 31% of global mass shooters during the period from 1966 to 2012, more than any other country, Mr. Lankford said, adding that he defines a mass shooter as one who killed at least four victims.
U.S. Leads World in Mass Shootings
The mass shooting in Orlando on Sunday was appalling in scale: 49 killed in a single attack. But it’s not unusual for dozens of Americans to be killed by guns in a single day.
http://www.nytimes.com/2016/06/14/u...ates-the-us-is-in-a-different-world.html?_r=0
In the U.S. a total of 509 citizens have been killed this year alone by police. The body count for the previous year stands at a grand total of 990 people shot dead, according to the Washington Post.
Infographic: Breakdown of U.S. citizens killed by police in 2016
Sababu NI ipiI?Picha [potofu] inayotengezwa humu kama mtu hauishi Marekani unaweza kudhani Marekani ni eneo la kivita.
Kwamba hakuna amani kabisa.
Kwamba kila siku polisi wa Kizungu wanatembea mitaani na kuanza tu kuua watu weusi pasipo na sababu yoyote ile.
Funny!
More than 32,000 people per year are killed by guns in the United States — at least.
More Young Americans Now Die From Guns Than Cars
1,000 mass shootings in 1,260 days: this is what America's gun crisis looks like
1,000 mass shootings in 1,260 days: this is what America's gun crisis looks like
For the first time in more than 60 years, firearms and automobiles are killing Americans at an identical rate, according to new mortality data released this month by the Centers for Disease Control and Prevention (CDC).
Guns are now killing as many people as cars in the U.S.
The U.S. represents less than 5% of the 7.3 billion global population but accounted for 31% of global mass shooters during the period from 1966 to 2012, more than any other country, Mr. Lankford said, adding that he defines a mass shooter as one who killed at least four victims.
U.S. Leads World in Mass Shootings
The mass shooting in Orlando on Sunday was appalling in scale: 49 killed in a single attack. But it’s not unusual for dozens of Americans to be killed by guns in a single day.
http://www.nytimes.com/2016/06/14/u...ates-the-us-is-in-a-different-world.html?_r=0
In the U.S. a total of 509 citizens have been killed this year alone by police. The body count for the previous year stands at a grand total of 990 people shot dead, according to the Washington Post.
Infographic: Breakdown of U.S. citizens killed by police in 2016
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu waliokufa mkoani Mwanza mwaka huu unaifahamu?
Kweli kosa vyote lakini sio hekima.Acheni mbwembwe.
Marekani is not a place.
Watanzania kama wangekuwa wanaweza kuja Marekani bila viza na nauli wanayo zaidi ya nusu ya nchi inehamia Marekani.
Elezea. Hekima kwako inaweza kuwa upumbavu kwa mwingine.Kweli kosa vyote lakini sio hekima.
Kwani marekani huko hakuna waliokufa kwa ajali za barabarani, hiyo idadi ya vifo vya barabarani hapa TZ ni kubwa kuliko huko USA.?Mwaka jana pekee idadi ya Watanzania waliokufa kutokana na ajali ya gari ni 3,574.
Huo ni mwaka mmoja tu! Na hiyo idadi huenda ni kubwa zaidi ya hapo maana hizi taarifa huwa zingine huwa zinapikwa ili kuficha mapungufu.
Chanzo
Kwani marekani huko hakuna waliokufa kwa ajali za barabarani, hiyo idadi ya vifo vya barabarani hapa TZ ni kubwa kuliko huko USA.?
Mbona unaniuliza kitu ambacho sijakizungumzia, mi wala sipo kwenye hiyo ishu za risasi, nimeguswa hapo kwenye swala la ajali ndo maana nimekuuliza!!!Kwani huko Tanzania hamna waliokufa kwa kuuliwa na polisi na kwa kuuliwa na majambazi na kwa kuuliwa na raia wa kawaida?
Mbona unaniuliza kitu ambacho sijakizungumzia, mi wala sipo kwenye hiyo ishu za risasi, nimeguswa hapo kwenye swala la ajali ndo maana nimekuuliza!!!