Ni urembo, utanashati, pesa, elimu au akili kichwani unapochagua mwenza wako..???

Adam na Eva wasingekula tunda haya yotee sjui naangalia tako,sura kama kiazi mbwabwata ,hipsi, yasingetokea,tungebaki hvyohvyo mbumbu,...make kila siku kukupambazuka vigezo vya kuoa au kuolewa vinaongezeka,hii inatupelekea wanawake wengi kujibadili maumbile yetu ukituona sasa hvi utafikiri tumetoka sayari ya mercury.....
Mm na ww tujiulize Leo mungu angetuekea vigezo katika uumbaji wake hilo tako ,miguu ,hipsi sura mviringo ungekua navyooo???
 
Cha kwanza kabisa ni tabia, hivyo ulivyotaja hapo juu ni kama nyongeza tu.
 
Ni wanawake wachache sana wanaotuvumilia kwa hali zetu mkuu, wengi wao wanataka mambo perfect
 
We Mwenyewe umeacha kusema unapenda nini.. Kweli Watanzania tunapenda Umbea... Ushilawadu Umetuponza.. badala ya kuongea Mtazamo wako ni Vitu Gani vinakupelekea kwenye Mahusiano unasema eti Ngoja usikie wenzio wanasemaje? Hiz Shule tulizosoma kwa kucopy Copy Mbaya Sana. Samahani kutofautiana na wewe baada ya kusoma Paraghaph yako ya kwanza sikuendelea tena
Kutomwelewa mtu haimanishi mtu huyo haeleweki..! Pia wewe unaweza kuwa huna uwezo wa kuelewa.
 
Back
Top Bottom