realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 2,127
- 4,447
Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana.
Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri.
Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana.
Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako?
Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta sana kwa kuwa nilikuwa namuamini sana.
Wakuu tupeane uzoefu na ushauri.