Ni sawa kuwa na mazoea na shemeji?

HESHIMA KWA SHEMEJI ZENU MUHIMU KAMA MMEAMUA KUHESHIMIANA.
Ila kama mnatafutana na baadae mseme sijui shetani wekeni mazoea ya kipuzi.
MIMI MAZOEA NA NKE WANGU WALA SIHITAJI BANAWEWE.
 
Inategemeana ntu na ntu,kwa wale wenye ustahamilivu inawezekana kabisa.
 
Wadau kuna jambo hapa,

Hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako? Mke wa kaka yako au mdogo wake mke/mchumba?

Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo la kimaisha pia kimaendeleo.

Ni sawa?
Kimsingi hata kuku,mbuzi,kitimoto na viumbe wengine waliwao si vyema kuwa na mazoea naye kwa kuwa mwisho wa siku utamgeuza kitoweo!
 
Haifai kuruhusu mazoea na shemeji yako, shetani hakawiagi kuingiliaga katikati
 
shemejishemeji huku wazima taa
Nishashuhudia wajomba wakipigana kutokan na issue kama hizi. Mjomba mdogo huu utani wa ushemejj akadinda shemeji mtu akamwambia utaweza? Majibu ikawa vua uone si chabo dirishani ngoma ikachezwa shemeji MTU kanogewa na ngoma ya mdogo wa mmewe ikawa mchezo. Za mwizi arobaini yalinyanyuka mapanga bibi kaingilia kati uncle mdogo alikuwa kama barafuuu kapoaaaaa. Mazoea na shemeji sio mazurii
 
Sasa hadi mfike huku ina maana mlikuwa mnatakana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…