mimi Nina shemeji yangu mzuri sitaki mazoea nae nisije nkapata dhambiAkifa Mke wako unaweza kuoa mdogo wake sasa hapo utakuwa umeoa Dada yako?
Wadau kuna jambo hapa,
Hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako!? Mke wa kaka yako au mdogo wake mke/mchumba!!!?
Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo la kimaisha pia kimaendeleo... Ni sawa?
Mi pia nasema haifai.Haifai
nadhani ingependeza utujuze ili hata mtoa mada ajifunze kidogoDaa usiombe kuzoeana na shemeji yako Sana mm nilizoeana na kaka wa mume wangu yaliyonikuta Siri yangu