THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,944
- 13,522
Friends and Our Enemies,
Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao.
Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa makubwa na kufikia hatua ya kukomaa na kuaminika kuwa ni chama kikuu cha upinzani.
CCM,Ni chama ambacho kimekuwa kinabadilika zama na zama kutokana na aina ya siasa zilizopo duniani na nchini kwa ujumla.
CCM inajua fika kuwa anguko lake ni kuimarika kwa vyama vya upinzani au kuungana kwao,so wamejiweka vyema kuhakikisha ile principle ya divide and rule inashika hatamu katika kuishi na vyama vingi vya upinzani ndani ya siasa za nchi hii.
Chadema chini ya Mangi Freeman Mbowe,wamefeli katika kuandaa mbadala wa uongozi wa chama hiko awamu hadi awamu mpaka kufikia hali hii iliyopo hivi sasa.
Chadema wamefikia hatua ngumu kiasi kwamba hawawezi kumuamini mtu yeyote aongoze chama hiko ZAIDI YA MBOWE kwa kuhofia nguvu ya CCM.
Chadema wamekwama na wasipokuwa makini huu ndiyo utakuwa mwanzo wa anguko lao.
CHADEMA WAKO RADHI TUNDU LISU AWE RAISI WA NCHI HII KULIKO AWE MWENYEKITI WA CHAMA CHAO.