- Thread starter
- #21
Kila mtu aliumbwa unique kabisa/ Yaani TOFAUTI na mwingine kabisa.
Hata siku moja Magufuli hawezi kuwa
kama Nyerere. HILO kwanza TUSAHAU.
Na Nyerere angekuwa bado yu HAI asingeweza kuwa kama Magufuli hata CHEMBE.
NYAKATI na MAJIRA yamebadilika na yanahitaji KWENDA na NYAKATI.
Mfano mzuri ni wa nchi ya CHINA.
Rais wa SASA na mkuu wa chama cha KIKOMINISTI cha CHINA HAWEZI kuwa kama MAO Tsetung.
HAIWEZEKANI.
China kama NCHI na CHAMA chake tawala cha nchi hiyo kumekuwa na MABADILIKO MAKUBWA kabisa TOFAUTI na ilivyokuwa wakati wa MAO na MITAZAMO ya MAO ilivyokuwaga.
Hii ni kusema kama Mao mwanzilishi wa taifa hilo angefufuka na akute CHAMA CHAKE na NCHI yake ILIVYOBADILIKA na mfano CHAMA KILIPOYAACHA mavazi ya kaunda za MAO na watu WAKARUHUSIWA kuvaa SUTI hata viongozi wa chama, hili tu LINGEMSHTUA sana Mao na kumfanya ARUDI KABURINI!!!!!!!
Nisemavyo ni kuwa TUSIMLINGANISHE Magufuli na Nyerere wala kule TULIKOTOKA bali TUANGALIE kule TUENDAKO.
Hii pia yakiwemo MABADILIKO yanayoambatana na Present TIME, Current GEOPOLITICS nchi na hata za dunia zilivyobadilika.
Na hivyo approach HAZITAFANANA hata CHAMANI CCM. Mfumo wa zamani might not be applicable kwa nyakati za SASA.
Hivyo mabadiliko HAYAEPUKIKI.
Mmhh! neo nini unaongelea?