Ni nani unamkubali zaidi?

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
869
Ni nani unamkubali zaidi katika uchekeshaji kati ya charlie champlin & mr bean ?
Kwa nini unamkubali?

Charlie champlin


Mr bean
 
Charlie Chaplin hana mpinzani hapa duniani hata mjukuu wake na yy yupo vzr. Mr bean yuko poa
 
Charlie is the best kwangu mimi.
Nikiangalie vichekesho vyake sichoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…