Ni nani mtu wa kwanza kusema hallo katika simu?

We fikisha mzigo kwanza, hayo mengine yatakusababishia matatizo.

Ukiona ngedere mjini ujue anafugwa.
Usipanic bro..Ni mgawanyo tu wa majukumu..We unamvalisha mi ninamvua..Kila mtu asimame kwenye nafasi yake
 
Salamu!
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
  1. Kwa nini unaanza mazungumzo ya simu na neno HALLO?
  2. Ni nani mtu wa kwanza kusema HALLO ktk simu na kwa sababu gani alisema?
  3. Neno HALLO usipolisema, mazungumzo yataathirika na nini?
  4. Je, umewahi kujiuliza kiuhalisia ni nani hasa anastahiki kuanza kusema HALLO kati ya mpigaji na mpokeaji?
Asubuhi njema!
""Alexander Graham Bell, huyu ni mvumbuzi wa simu, yeye alikua na tatizo la hisia kali za mapenzi , hisia zilizopitiliza mpaka alikuwa kero kwa mpenzi wake miss Hello. Inasemekana alikua kama zombi kabisa kwa mpenzi wake kuna nyakati ilibidi mpenzi wake huyu amkimbie, lakini pamoja na kumkimbia huku siku alipovumbua tu simu neno la kwanza katika simu lilikua ni kutaja jina la mpenzi wake HELLO na hapo ndio utamaduni wa kuanza na neno HELLO kwenye simu ulipoanzia, japo watu wa kizazi hiki wanachukulia kama ni fashion lakini neno HELLO lilitajwa na mtu aliyekuwa na emotion breakdown wakati huo ""

Chanzo: Uhusiano wa u-genious na Ukichaa
 
Salamu!
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
  1. Kwa nini unaanza mazungumzo ya simu na neno HALLO?
  2. Ni nani mtu wa kwanza kusema HALLO ktk simu na kwa sababu gani alisema?
  3. Neno HALLO usipolisema, mazungumzo yataathirika na nini?
  4. Je, umewahi kujiuliza kiuhalisia ni nani hasa anastahiki kuanza kusema HALLO kati ya mpigaji na mpokeaji?
Asubuhi njema!
Kwa mjumuisho wa maswali yako...
Simu ilivumbuliwa na Alexander Bell nadhani unafaham..
Alexander Bell mkewe alijulikana kwa jina la Hollo na msingi wa mfumo wa upokeaji wa simu kusema "haloooooo" sisi tumeadapt lakini kimsingi ni jina la mke wa alexander alikua akimuita jina mkewe walipokua wakiwasiliana.. sawa na ww upokee simu ya mkeo badala ya kusema halooo ukasema "Helen"..
 
Wewe umri wako unaweza kuwa above 40, hiyo salam ya habr ciipend ni ya watu wazima
mkuu labda ni kukariri tu au pengine mazoea ila kikweli mtu ambaye tunaendana umri na hadhi kunambia habari naona kaa dharau vile. mi hua nasema habari kama nasalimia kundi kubwa la watu wenye umri tofauti tofauti na kwa nnaowazidi umri.
 
Hello ni Jina la demu wa Mgunduzi wa simu wa kwanza Alexander Graham Bell jamaa alikuwa addicted sana na demu wake aliporusha mawimbi ya sauti kwa Rafiki ake alie mbali kidogo na yeye Tanti alianza na neno Hello la demu wake
 
Hello lilikuwa jina la mke wa mtu liyegundua simu. Alikuwa anamwita mara apokeapo simu kujua kwamba anamsikia
 
Hello ni Jina la demu wa Mgunduzi wa simu wa kwanza Alexander Graham Bell jamaa alikuwa addicted sana na demu wake aliporusha mawimbi ya sauti kwa Rafiki ake alie mbali kidogo na yeye Tanti alianza na neno Hello la demu wake
Huyu Halo alikuwa ni kiziwi.
Hivyo basi jamaa alikuw kila akipiga simu anasema HALO yaani amnauliza wewe ni Halo maana nyumba aliyokuwa anaishi yeye alikuwa anaishi na mama yake pia.
 
Kwa kila watu wa mwanzo kufanya JAMBO ndy huzoeleka hivyo...na ndy inakuwa ni HIVYO DUNIANI KOTE,,,,mfano,,,Kwa SISI MABAHARIA tunasema NENO LA KIFARANSA,,, MAYDAY MAYDAY( hiyo ni duniani kote lazima uongee hivyo,,uwe MCHINA,,MBAZILI,,ENGLISH.. lazima USEME mayday mayday..NDY USIKIKE UNATAKA MSAADA,,ukisema HELO..imekula kwako.).....ukisikia hivyo juwa mambo yameharibika,,so hyo HELO itakuwa ni wale watu wa kwnza KUONGEA NA SM..ndy ikazoeleka hivyo...
 
Back
Top Bottom