Binamu mbona uko wazi huu kitambo na nyumba odama alijengewa kwa usimamizi wa vijana wa yule jamaa aloshindwa ubunge moshi mjini, yule tajiri wa malori na bureau de change kadhaa mjini ikiwamo ile ya ubungo plaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.