Ni nani anayestahili kutajwa kwa tuhuma za dawa za kulevya?

Sasa hapo Magufuli kahusikaje!!?
Mi naeleza kinachotakiwa kufanyika wakati una mhusisha mtuhimiwa wa madawa ya kulevya lazima uwe na ushahidi
Madawa ya kulevya siyo machungwa hayo kuwa unajiitia tu mtu.
Halafu quote ya magufuli naye alikuwa kama amelewa, kama mke wake ana uza sasa nani angekuwa ana jua zaid yake mwenyewe!!!, jinga kweli huyo jamaa.
Hivi kweli kabisa wakosoaji MNAAMINI kwamba serikali haiku fanya uchunguzi juu ya hili before?? Kweli??
 
Hivi kweli kabisa wakosoaji MNAAMINI kwamba serikali haiku fanya uchunguzi juu ya hili before?? Kweli??
Sipingi nia, nia ni safi.
Napinga process kwa utaratibu wa utekelezaji huu ni ngumu kutokomeza wataishia kichafuana tu
 
Napenda kujua sifa za anayestahili tuhuma za dawa za kulevya!

Ningependa kujua ni MTU wa namna gani ili yanapotokea malalamiko nielewe kwanini watu wanalalamika.

Nataka nijue maana Kuna watu wakituhumiwa basi lawama ziwepo kuwa , wananyanyaswa ama kiki inatafutwa!

Niasidieni jamani!

Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya yukoje?
Ushahidi ukamatwe nao ndio inatakiwa sio niitwe tu Mlaleo unatakiwa kureport kituoni tangazo kwenye radio na Tv wtf ndio Dunia nzima ilivyo bila hivyo hamna haja ya shirika wala idara ya kijasusi... no more utawala bora
 
Sipingi nia, nia ni safi.
Napinga process kwa utaratibu wa utekelezaji huu ni ngumu kutokomeza wataishia kichafuana tu
Kwanini haya unaosema tusisubiri mpaka i
Tuone kama ni ngumu kutekeleza ndio tuje tuseme.. Tusubiri mda utaongea
 
Ambaye una ushahidi nae...na jambo la kwanza sio kuitwa kuongea nae bali sababu una ushahidi mpeleke straight mahakamani
 
Madawa ya ku levya ni issue sensitive, haihitaji tu tuhuma ina hitaji uchunguzi na unapo taja jina la mtu uwe na ushahidi usiotia shaka kwamba anauza dawa za kulevya.
Mara nyingi watuhumiwa huchunguzwa kimya kimya mpaka umepatikana ushahidi, kinyume na hapo una mchafua mtu, na ana haki ya kukushtaki kwa kuharibu jina lake just kwa kulihusisha tu na madawa ya kulevya
Character assassination
 
Swali zuri?

Polisi haipaswi kumtuhumu mtu na kumtangaza kisha kumshika alafu ndio kumchunguza.

Hapa nashauri uchunguzi makini (upelelezi) ufanyike, tena wa siri. Polisi ikisha jidhihiri pasipokuwa na shaka juu ya X pamoja na ushahidi walioukusanya, hapo ndipo wamtangaze na kumkamata.

Mimi binafsi huwa sielewaki ile kauli "Tumemshikilia kwa uchunguzi zaidi"
Unajuaje kama polisi au Serikali haikufanya hivyo,, kabla ya kuwataja?
Au wew umo kwenye Mfumo wa utawala wa Serikali yetu,, Acheni kutetea ujinga vijana wetu wamaharibiwa sn hizo NGADA zenu.
 
Tatizo watu wanapenza kuishi kwa mazowea bado wana zile mbinu za kizamani kumchunguza mtu mpaka umvizie, upoteze muda wee sijui mpaka lini! nchi zilizoendelea wakitaka kukuchunguza wanakupa taarifa kabisa kwamba sasa unachunguzwa maana kuna njia nyingi sana za uchunguzaji siyo hizi tulizo kalilishwa za kuviziana na uzuri wa njia hizo nadhani ni hata kumfanya yule anaye tamani kufanya ualifu ajue kwamba watu wapo aware na huo ualifu wake kwahiyo kama ndiyo anajifunza basi aache kabisa kwahiyo kwa wale sugu kwakuwa huo ndiyo mfumo wao wa maisha hawawezi kukoma kujificha siyo rahisi kama watu wanavyodhani watabaniwa tu kwenye mitandao yao. Na wala siyo kweli hao watu wametajwa tu kwa kuropoka ni lazima kuna viashiria fulani vimeonrkana baina ya hao waliotajwa ndiyo maana wanaitwa kwa mahojiano zaidi ili kuthibitisha, pengine baadhi ya watu wanaweza kuwa na taarifa fulani nyeti zitakazo zaidia katika kufanikisha zoezi hilo hivyo kama mwana jamii unahitajika pia kutoa maelezo.

Utaratibu wa kuwaita watuhumiwa ni upi ?.

Kuita vyombo vya habari ,kuwatangaza hadharani na kuwaambia (kupitia vyombo vya habari)kuwa wanahitajika Polisi ... ...Au..

Kuwatumia barua ya Wito ?..

Au kuwakamata kwa maana ya kuwasaka?..

Nisaidie hapo tafadhali Mchambuzi..
 
Unajuaje kama polisi au Serikali haikufanya hivyo,, kabla ya kuwataja?
Au wew umo kwenye Mfumo wa utawala wa Serikali yetu,, Acheni kutetea ujinga vijana wetu wamaharibiwa sn hizo NGADA zenu.

Hakuna anae watetea wauza Unga ,tunapinga utaratibu unaotumika kuwa sio sahihi..Haiwezekani Mtu mmoja huyo huyo ndio Askari-polisi huyo huyo ndio Dpp huyo huyo ndio mahakama...amah#/!#☆
 
Ushahidi ukamatwe nao ndio inatakiwa sio niitwe tu Mlaleo unatakiwa kureport kituoni tangazo kwenye radio na Tv wtf ndio Dunia nzima ilivyo bila hivyo hamna haja ya shirika wala idara ya kijasusi... no more utawala bora
Matokeo yake ndo haya... wamepiga kelele kuhusu Wema hadi watu wakaamini kwamba nae ni drug dealer... at the end of the day, anafikishwa mahakamani kwa kukutwa na msokoto mmoja wa bhangi 1.83gm!!! Ndo waseme wanafanya uchunguzi in advance hawa!!!!
 
Unauita huo moyo wa chuma? Ulimsikia alipokuwa akitamka baadhi ya majina? Hekima inadhihirisha he had a secret agenda behind him. Tafakari
 
Ask your party chairman and Secretary General. They are the ones who know the dealers
 
Back
Top Bottom