More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 138
- 302
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya taifa na tuna familia zinatutegemea, wazazi wanaona wametupa hela zao kutusomesha.