Ni muda gani wanandoa wakae kabla ya kuamua kupata mtoto!?

Siku hiz kigezo kikuu cha kuoana ni mimba isiyotarajiwa. Pili ukikaa sana ma ex wana tabia ya kurudi rudi kuna hatari first born akawa si wako! Kuna mtaalam alinambia ni vizuri kuzaa watoto unaohitaj kwa gap y mwaka mmoja mmoja tu na ukifika idad ulopanga mnafunga kabisa. Mkeo hazeek wala kuchaa anarudia ukigori
 
Back
Top Bottom