Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 365
- 603
Katika kipindi hiki Cha msimu wa matunda ya maembe, ninakukumbusha kutumia kikamilifu ili yaendelee kuboresha afya yako.
Katakata(chop) Kisha weka kwenye kikombe Cha chai. Halisababishi kupanda kwa sukari sababu ya nyuzinyuzi zake( Low glycemic index) pia kiwango kidogo Cha nishati( Less than 100 calories per tea cup), hivyo inafaa kwa wanaopungua uzito/kisukari.
Husaidia kupata choo sababu ya fibers( nyuzi) zake. Lina vitamin A inayosaidia kuongeza Ute kwa akina mama wanaokaribia kukoma siku zao,Lina potassium nyingi inayosaidia kina baba.
Usizidishe kikombe kimoja Cha chai( High fructose Levels and fructose metobolism).
Note: Kama una swali au unatatizwa na Jambo lolote juu ya tiba lishe na mimea usisite kuuliza!
Jioni njema!