chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
asante, mimi mwenyewe huwa siliagi na kulalamika hovyo hovyo japo sio mwanaume, sina umri mkubwa sana lakini niliyopitia yamenifanya niwe strong kiasi kwamba kulizwa ni nadra sana, achilia mbali kwenye ishu za kutendwa kwenye mapenzi... nakasirika kwa masaa kadhaa tu kisha nasonga mbele. ku share ni kitu kizuri lakini unatakiwa una share tu kama experince na funzo kwa wengine lakini sio manung'unikoHii inatia hasira na inaudhi sana
Unakuta mtu analialia eti kuachwa eti kutendwa...mwanaume mzima unalialia humu kwa sababu ya Mapenzi
Wanaume kuanzia leo ni marufuku kulialia kwa sababu ya hivyo vidude
Waachieni mabinti watu wa emotions.Mwanaume unapaswa kuface reality.Sio mtu unakuja hapa kuomba ushauri kwa kina miss chagga sasa na wewe itabidi tukuvishe sketi
Hata wanaume wa dar hawatakiwi kulialia.
Hili suala naendelea kulifanyia utafiti.kuna wasiwasi mkubwa sana hawa wanaolialia ni vijana ambao hawatakiwi darisalama.