Ni makosa kumualika Kaimu Jaji Mkuu kwenye matukio ambayo tunajua yataishia katika mahakama zake!

Hatuna Jaji mkuu paka saivi na katiba yetu haitambui cheo cha kaimu Jaji mkuu
 
We jamaa una point sana una point sio mchezo jaji hakustahili kuwepo pale even Mr speaker
 
Povu ndo nini? Maana Jamii ya Mashoga inaenea kwa kasi sana Tanzania. Isije kuwa ni Misemo yenu.
Mkuu,naona una jazba,makinika kama MAKINIKIA,inaonekana wewe ni mwanachama wa Chama Cha Makinikia(CCM)
 
Jaji Mkuu naona anaalikwa katika kila tukio tena mengine kitaratibu yana ishara zote za kuishia mahakamani ambako yeye ni kiongozi wa mahakama

Je atatenda haki? Kwa maoni yangu,Jaji Mkuu anapoonekana pale kwenye vikao vile vinavyorushwa laivu inamuweka katika upande mmoja dhidi ya wale wanaotuhumiwa!

Sijui na yeye huwa anapiga makofi au anashangilia pale anapoalikwa,au ana ushiriki kiasi gani,ila uwepo wa Kaimu Jaji Mkuu,Spika,na Rais,ni ishara au hisia kwamba ni uamuzi wa pamoja na hakuna pa kukimbilia,kwa kuwa hata mahakama ya kukimbilia,Tayari Jaji Mkuu alikuwa sehemu ya tukio!

Jaji Mkuu si mwanasiasa,mumuepushe na mgongano wa kimaslahi,hapo hajathibitishwa kazini
Bavicha muwe mnamuuliza wakili kwenu Lissu wa makanikia. Mahakama, Bunge na Serikali ni mihimili mitatu ya dola na viongozi wake ni Jaji Mkuu, Spika na Rais na Ndiyo sababu uliwaona wote Pamoja. Hiyo Ndiyo nchi au dola
 
Siku hiyo yalitolewa maagizo kwamba kila chombo cha dola kimshughulikie muhusika aliyetajwa na aliyetoa agizo alisema anasikitika nchi inaibiwa,jaji mkuu atatekelezaje?akiwaachia huru atakuwa ametekeleza agizo au amekiuka agizo?
 
Jaji Mkuu naona anaalikwa katika kila tukio tena mengine kitaratibu yana ishara zote za kuishia mahakamani ambako yeye ni kiongozi wa mahakama

Je atatenda haki? Kwa maoni yangu,Jaji Mkuu anapoonekana pale kwenye vikao vile vinavyorushwa laivu inamuweka katika upande mmoja dhidi ya wale wanaotuhumiwa!

Sijui na yeye huwa anapiga makofi au anashangilia pale anapoalikwa,au ana ushiriki kiasi gani,ila uwepo wa Kaimu Jaji Mkuu,Spika,na Rais,ni ishara au hisia kwamba ni uamuzi wa pamoja na hakuna pa kukimbilia,kwa kuwa hata mahakama ya kukimbilia,Tayari Jaji Mkuu alikuwa sehemu ya tukio!

Jaji Mkuu si mwanasiasa,mumuepushe na mgongano wa kimaslahi,hapo hajathibitishwa kazini
Kwenye swala hili la kupinga uwizi na unyonyaji wa kibeberu wacha mihimili yote ikae pamoja.....umoja ni nguvu....alafu...nani alikuanganya ...mgogoro ukiibuka kesi itasikilizwa hapa tz....????
 
Unajuaje kama haitawagusa baadhi ya watanzania kwenye mahakama za hapa hapa Tanzania?

Kama mihimili imeungana,kwa hiyo kesi ya nyani unampelekea ngedere?
 
We ni Nani? Mpaka unapata nguvu ya Kupiga Marufuku!

We ni nani kuhoji haki ya mwana JF kutoa maoni yake? Mbona wewe kutwa nzima na usiku kucha unapost umbea wako na mods wanakuvumilia? Au kwa file wewe ni fisiem basi unajiona una uwezo wa kuwanyamazisha wengine wasio mafisi?
 
Mwambie
 
Jaji Mkuu naona anaalikwa katika kila tukio tena mengine kitaratibu yana ishara zote za kuishia mahakamani ambako yeye ni kiongozi wa mahakama

Je atatenda haki? Kwa maoni yangu,Jaji Mkuu anapoonekana pale kwenye vikao vile vinavyorushwa laivu inamuweka katika upande mmoja dhidi ya wale wanaotuhumiwa!

Sijui na yeye huwa anapiga makofi au anashangilia pale anapoalikwa,au ana ushiriki kiasi gani,ila uwepo wa Kaimu Jaji Mkuu,Spika,na Rais,ni ishara au hisia kwamba ni uamuzi wa pamoja na hakuna pa kukimbilia,kwa kuwa hata mahakama ya kukimbilia,Tayari Jaji Mkuu alikuwa sehemu ya tukio!

Jaji Mkuu si mwanasiasa,mumuepushe na mgongano wa kimaslahi,hapo hajathibitishwa kazini
Unauhakika itaishia mahakamani? Ona wanaume wamekubali "kuyaongea"
IMG-20170614-WA0036.jpg
 
Na spika ambaye sheria zitaishia kujadiliwa kwenye bunge lake, bila kumsahau raisi ambaye vyombo vyake vya dola vitaishia kuwakabili wezi! Usumbufu buana...
 
Back
Top Bottom