Nisingeshangaa kama yanayowakuta yangekuwa wakati huu wa Magufuli ambao unaonesha
kuanza kufuta mfumo wa kulinda vigogo, Kinachonisangaza ni hawa vigogo kuandamwa
na hii kesi yao tofauti kabisa na vigogo wengine ambao pengine walifanya makosa makubwa
kuliko wao toka wakati huo ambao Vigogo walikuwa wanasujudiwa,
Kutokana na nyadhifa ambazo walikuwa nazo ndipo ninapolazimika kuuliza ni kipi hasa kikubwa
walichokosea mpaka wakakosa fursa ya kulindwa kama vigogo wengine?