Ni lini serikali itapanga vituo vya kazi kwa walimu wa sayansi na hisabati?

Ajira hakuna serikali iliwadanganya tu kupunguza munkari na haina uwezo wa kuajiri kwa sasa tafuta shughuli nyingine ya kufanya.
 
subiri wanahakiki ndugu yangu kwani si ulimsikia yule waziri akisema hatazidi miez mitatu sasa kamwezi kamoja tu unalalama ? subir wahakiki ,wakishamaliza wahakiki tena baada ya hapo wahakiki tena kama vyeti vyako ni halali then wahakiki upya uhitaji
 
Hapa hakna ajira Bali kuna MATAMKO tu, ajira gani zisitolewa tangu 2015? Huu ni ujinga tena uliopta kiasi,

Mtashangaa TAMKO jingne tena laktuma vyeti walimu wa sayansi na hisabat mwaka 2016, badae tena kutuma vyeti na walimu wa Sana'a ili vihakikiwe, polepole mpaka bajet 2017/2018

Mamaeeeee KABSA awamu hii!
 
Ni takribani zaidi ya mwezi sasa tangu serikali kupitia wizara ya elimu ilipotoa muongozo mpya wa kutoa ajira, ambapo walimu wahitajika ni wa sayansi na hisabati waliotakiwa kutuma vyeti vyao kwaajiri ya uhakiki na kupangwa vituo vya kazi rasmi! hata hivyo zoezi hili lilifanyika na kumalizika kwa muda wa siku tatu tu.

Licha ya shule zote nchi kufunguliwa tarehe 9 january, lakini mpaka sasa hakujatangazwa ajira hizo kwa walimu hawa wa sayansi na hisabati wenye umuhimu mkubwa hasa katika kipindi hiki nchi ikielekea katika uchumi wa viwanda, pia kulingana na uhaba katika shule zetu za kata hasa za vijijini!

Ni lini serkali itatoa majina ya vituo vya kazi kwa walimu wa sayansi?
Mwaka wa fedha 2017 - 2018...
 
Hapa hakna ajira Bali kuna MATAMKO tu, ajira gani zisitolewa tangu 2015? Huu ni ujinga tena uliopta kiasi,

Mtashangaa TAMKO jingne tena laktuma vyeti walimu wa sayansi na hisabat mwaka 2016, badae tena kutuma vyeti na walimu wa Sana'a ili vihakikiwe, polepole mpaka bajet 2017/2018

Mamaeeeee KABSA awamu hii!
hii nchi bhana!
usanii na kutafuta kiki sio tu kwa kina wema seoetu aiseeee!

hata viongozi wetu wanatoa matamko wapate coverage kwenye medea, hapa ajira hakuna kweli
 
Mnakumbuka nyie tu sis wa primary tumenyamaza kimya ambapo bils ss nyie hamwezi kupata wanafunzi wa secondary
Tena saiv ndo kimya kweli
FB_IMG_1483793481134.jpg
 
Unajua kuna vitu nchi hii ukivitazama unaweza cheka japo ni matatizo, kwa mfano pale serikali inaposema itaajiri waalimu 4000 wa science hivyo itapunguza tatizo la ajira na wakati tatizo la ajira kwanza kwa walimu wa science sio tatizo kila siku wanatafute privates, pili je 4000 kati ya 70,000 umepunguza tatizo la ajira?
Wawe tu wawazi kuwa serikali hii ni ya kubana matumizi kwani kusema walimu wa sanaa wametosha ni aibu kwa waliotembelea shule za vijijini ni mashahidi na je vipi malengo ya millenium Tanzania haiyataki yani atleast 40 student per one teacher?
Yetu macho kwani kubana matumizi kunaleta vidonda vya tumbo na siku vikilipuka hela zote ulizobana na zaidi utatumia kujitibu.
mkuu mimi naona hata izo ajira 4000 ni danganya toto tu hazitakuwepo!

siasa imeingilia mambo ya msingi sidhani kama tutafika
 
Sasa hivi vijiji mnavitaka, kweli hali ngumu "Mnasisitiza kabisaa ...hasa za vijijini hahahaha" Bado yakiwa tayari mtajua
 
Unajua kuna vitu nchi hii ukivitazama unaweza cheka japo ni matatizo, kwa mfano pale serikali inaposema itaajiri waalimu 4000 wa science hivyo itapunguza tatizo la ajira na wakati tatizo la ajira kwanza kwa walimu wa science sio tatizo kila siku wanatafute privates, pili je 4000 kati ya 70,000 umepunguza tatizo la ajira?
Wawe tu wawazi kuwa serikali hii ni ya kubana matumizi kwani kusema walimu wa sanaa wametosha ni aibu kwa waliotembelea shule za vijijini ni mashahidi na je vipi malengo ya millenium Tanzania haiyataki yani atleast 40 student per one teacher?
Yetu macho kwani kubana matumizi kunaleta vidonda vya tumbo na siku vikilipuka hela zote ulizobana na zaidi utatumia kujitibu.
pamoja saaana mwalimu wa history, nimekupata vyema!

naona uko verifyd kabisa, hustle za DUCE sio mchezo alafu leo mtu analopoka tu eti hakuna ajira!
si haki kabisa
 
Sasa hivi vijiji mnavitaka, kweli hali ngumu "Mnasisitiza kabisaa ...hasa za vijijini hahahaha" Bado yakiws tayari mtajua
namba inasomwa hadi sio vizuri!
sehemu yoyote wadau wako teyari kufanya kazi, ishindwe serkali tu kupanga vituo vya kazi
 
Back
Top Bottom