Ni lini Benjamin Sitta atavuliwa Umeya wa Kinondoni?

..hiyo kesi itapigwa danadana mpaka 2019.

..binafsi nimekosa imani na mhimili wa mahakama.

Hivi sasa tuna polisiCCM na hata mahakama nazo ni mahakamaCCM! mfano hai basi ni mahakama ya mafisadi iliokosa washitakiwa! Serikali hii ni tamthilia na kwenda mbele tu.
 
Tutapambana na hakuna kitakachofanyika kinondoni mjomba .


Mkuu tatizo ilikuwa ni madiwani wenu na pesa walikula, wapo ambao walishangilia kugawanywa kwa manispaa ya Kinondoni wanasema Bony hakuwa mtu wa kuwatengenezea mazingira ya kula, alikuwa anakula peke yake. Wanasiasa ni watu hatari sana mheshimiwa meya ndani ya mwaka Mmoja anamiliki gari ya milioni 200 na Ghorofa la hatari. Naomba kujua mshahara ya meya ni shilingi ngapi???
 
Hivi sasa tuna polisiCCM na hata mahakama nazo ni mahakamaCCM! mfano hai basi ni mahakama ya mafisadi iliokosa washitakiwa! Serikali hii ni tamthilia na kwenda mbele tu.


Chama tawala kinatawala kila kitu hadi chadema na Ukawa yake, Polisi mahakama yaani kila kitu.
 
Mkuu Babati mimi namsema huyo aliyedai eti kuna mhimili mwingine umejichimbia sana ardhini!
 
Erythrocyte post: 19080312 said:
Hoja gani ?
Mkuu Erythrocyte kuna mtu aliwahi kusema kwenye majukwaa eti kuna mhimili umejichimbia zaidi kwenda ardhini, sijui akili ya wapi hiyo!
 
Methali zingine zidhani zina uhalali wa kubaki katika lugha ya kiswahili...Angalia methali yoyote inayomuhusu Mst.Meya wa Kinondoni uone kama bado ina uhalali.
 
Muoneeni huruma jamani kafiwa na baba yake
Mimi nimefiwa na mama na baba , kwa lugha rahisi mimi ni mtoto yatima , hata hivyo lubuva hakunionea huruma , alichakachua kura yangu , sembuse huyu ambaye mama yake yupo ?
 
Back
Top Bottom