Ni ligi ipi inamvuto na ngumu kuliko zote ulaya

Ligi ngumu ni ya Brazil pale kuna timu kama Boca junior Sao paulo kuna ile samata anachezea kabla ya kwenda kule kidogo ishuke daraja kweli samata ni mkali.
 
Hakuna kama La liga hapa duniani....
Na hakuna kama Barcelona hapa duniani
Na hakuna kama messi hapa duniani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hakuna kama La liga hapa duniani....
Na hakuna kama Barcelona hapa duniani
Na hakuna kama messi hapa duniani
Mjadala ufungwe umemaliza kila kitu
be9676985f2d326059a0a627c68e317d.jpg
 
Ligi ngumu ni ya Brazil pale kuna timu kama Boca junior Sao paulo kuna ile samata anachezea kabla ya kwenda kule kidogo ishuke daraja kweli samata ni mkali.

Ndugu yangu brazil tena! kuna club ipi ya maana pale? santos fc tulimpiga 5-0 km unakumbuka ile mechi Barca 5-0 Santos, Barca hiyo cku walicheza kama vile wapo mazoezini, santos walikuwa wanahema hata kukimbia walikuwa hawajiwezi....halaf hiyo Boca juniors ni club ya Argentina na ndio club bora South american na america nzima
Check list
best club of south american of all time
1-Boca Juniors (Buenos Aires Argentina)
2-Independiente (Avellaneda Argentina)
3-River plate (Buenos Aires Argentina )
4-
5-
6-
 
  • Thanks
Reactions: PNC
spain
germany
than
EPL

ukitaka kulijua hilo angalia team zetu za EPL zinafanya nini kwenye UEFA
nimiaka mingapi hazifanyi poa
 
Naona watu wanashindwa kutofautisha neno MVUTO na BORA

Ipi ni ligi bora-LA LIGA
ipi ni ligi yenye MVUTO-EPL
 
Mi natofautiana kidogo, epl sio ligi ngum sema tu viwango vya timu kongwekma man u, liver na arsenal huwez tofautisha na norwich, westbromich n.k, la liga ni ligi bora tim kongwe kma madrid na barcelona kula kykicha zinawekeza zaidi,hivyo timu znazopanda daraja zikikutana na hao jamaa unakuwa ni mfupa mgum kwao, hivyo hivyo hta bundesiliga, hitimisho ligi ngum 1. Laliga, 2.bundesiliga 3. Epl
 
Back
Top Bottom