Rose Bud
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 252
- 256
Dogi anahangaika tu kama anataka kutaga, ila Wema kawahi kujisalimisha kwa Matilda ha ha ha Matilda alitishia kutoa siri za wema, imebidi wema apatane haraka iwezekanavyo
Yaani yangempata kaa ya dadake MAnge alivyoumbuliwa na housegirl wake!! Lakini iko siku yatatoka tu.