Mkuu mm mwenyewe najiuliza sana.. We jiulize huku chanika umeme unakatika mara 8 kwa siku.
Sasa utasemaje hakuna jipu huko
Mkuu ni PM namba yako tuweze kufuatilia.
Unapokuwa na tatizo unatakiwa kutoa taarifa ofisi za TANESCO, ndio maana zilitolewa namba za mameneja wa Kanda na Mikoa ili kuweza kuwa karibu na wateja.