Ni kweli Njombe na Iringa zinaongoza kwa maambukizi ya VVU?

Makete ludewa ni baridi hakuna mfano ukimwi upo kila sehemu sema wa huko hupima mara kwa mara
 
Njombe ndo noma vijana wengi wanateketea wanawaacha wazazi wao wakiwa wapweke....makete napo kuna familia zilibaki watoto tu wanajilea wenyewe
 
Nipo mkoani Iringa Mafinga hapa kuna baridi hata Arusha Kilimanjaro cha mtoto nimeshangaa kuona mabinti wengi sana hapa Mafinga seven eleven pale yaani ni wengi balaa, but nilipojaribu kudodosa wenyeji wameniambia hapa kwa VVU panaongoza ila nikawa na wasiwasi kama ni kweli au amenizuia nisifaidi dada zake wa kihehe.

Hivi UKIMWI si upo kila mahali hizi takwimu ni za kweli Njombe na Iringa wanaongoza au ni uongo na hizi takwimu wanazipataje? Maana pia pale Tunduma Namanga, napo nasikia ni noma.
Mikoa hiyo inaongoza kitaifa kwa maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.

Kaa chonjo.

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom