Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

Sina uhakika na hilo ila katika jamii yetu mwanaume akifa na mkono wa sweta ( govi) lazima litolewa kwanza ndo azikwe
 
Wanauza kwa idhini ya nani? Wakinikata za kwangu huyo atayezinunua mbona atajuta! Nitakuwa namtokea kila siku
Utakuwa unamuonea, unatakiwa umtokee aliyekukata ili ajute. Sasa huyo kazikuta sokoni atajuaje za marehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom