Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
 
Kumekuwa na maneno eti kwa mfano mtu alievunjika labda mbavu mguu au nyonga eti akipelekwa hospitalal labda akaongezewa kiungo cha chuma kama kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa eti ni kweli kwa bahata mbaya akaja kufa.

Je !kuna ukweli eti kile chuma hukutolewa na kule hospital na hubaki nacho?
Eti na wewe unauliza eti.au kwasababu ya icho kijiti eti wa stendi ?
 
Kumekuwa na maneno eti kwa mfano mtu alievunjika labda mbavu mguu au nyonga eti akipelekwa hospitalal labda akaongezewa kiungo cha chuma kama kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa eti ni kweli kwa bahata mbaya akaja kufa.

Je !kuna ukweli eti kile chuma hukutolewa na kule hospital na hubaki nacho?
Ndio,yaani uondoke na mali ya watu yenye gharama kubwa kuliko pete ya gold na pingu ya silver?

Wengine watatumia nini endapo watapata majanga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom