Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Na ndio pona pona Yako iyo😂😂🤪🤪
Kuna mpangaji mmoja Kila nikienda kumdai Kodi naishia kujua Khali yake na kumuuliza changamoto za nyumba ananiambia wako fresh tu, ila nikitoka mguu hapo hasira za deni zinakuja alimaliza miezi 6 hata simuulizi habari ya Kodi🤪🤪 alikuja kufa kwa sababu ya kuvuta bangi+kubeli+ tambuu akawa hali chakula wakasafirisha kwao kigoma