Zanzibar-ASP JF-Expert Member Nov 28, 2013 11,615 41,001 Jan 20, 2025 #3 Ni upumbavu. Achana kabisa na hizo akili.
Madihani JF-Expert Member Apr 30, 2015 6,185 7,157 Jan 20, 2025 #5 Mambo ya kufikirika pia ni mawazo ya maskini.
H hahaha always done JF-Expert Member Jun 11, 2013 1,138 2,005 Jan 20, 2025 #7 Kuwa mchangamfu kwa wateja
Sa 7 mchana JF-Expert Member Dec 30, 2018 5,254 10,391 Jan 21, 2025 #8 Fanya Matangazo, hakikisha kila prospect wa bidhaa unafahamu kuwa unatoa bidhaa husika