Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,292
- 3,396
maisha ya ujanja wa chuo uliyoyaeleze mwanzo ni tofauti kbs na maisha ya ushamba na ulimbukeni uliyofanyiwa na huyo mdada,napata wakati mgumu kuamini which is which
Wakati unawachezea wengine na yeye alikuwa anachezewa...siku zote Mungu atakupa wakufanana nawe hivyo beba mnafanana sanaSalaam wana Jf...natumaini mu wazima wa afya tele na poleni kwa kuweza kutupa shauri ambazo kwa namna moja ama ingine zimeweza kudumisha mahusiano ya watu humu ndani...
Husika na kichwa cha habari hapo juu... Mimi ni kijana na umri wa miaka 24 na baada ya kumaliza bachelor yangu kuna kozi fulani naichukua ya miez 10 theN kuna kazi fulani nzuri tyu nimehadiwa pindi nikimaliza hii kozi ninyachukua kwa sasa .....
Maisha yaNgu ya kimapenzi ni kwamba pindi nipo chuo kuna baadhi ya wasichana nilikua na spend nao sana tyu but at the end niliishia kulala nao tyu na sikua na future nao coz wao ndio walikua wanajipendekeza kwangu na wengi wao walitamaNi kuwa na relationship na mimi but mimi niliwaona hawafai kwa sababu mavazi yao na kupenda kwao sana starehe nikaona si wazuri wa kuoa hao coz tutaishia kusumbuana katika ndoa ..... kwa jinsi nikivyokuwa smart na kwa jeuri ya fedha nikiokua nayo pale chuo niliwatumia vizuri tyuu any way tuachane na hayo ya nyuma ya pazia....
Ni mwaka na nusu sasa tangu nibahatike kukutaNa na binti fulani ivi kwa kweli nilivutiwa nae saNa kama kawaida siku laza damu nikaamua kum approach baada ya kubadilishana nae contact kwa kweli kwa siku za mwanzo alinisumbua but at the end alinikubalia...kwa kuwa yeye alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na alikuwa anasoma chuo fulani ambacho kipo karibu na hapa dar es salaam nilijitahidi saNa kila mwisho wa mwezi naenda kumtembelea na nisipokuwa na nafasi basi nilijitahid sana kumtumia pesa za matumizi 120000 taslimu......
Maisha yaliendelea vyema tyu... Ila ilipofika miezi kadhaa kama kawaida niliamua kuomba cha mviringo but kwa kweli alinijibu hajawahi kufanya so anaogopa nilimbembeleza sana lakni hakunielewa....tuliendelea ivyo but nikawa bado sijakubali nikarudia teNa kuomba cha mviringo jibu likawa lile akaniambia kama siwezi kuvumilia mpaka ndoa then ni bora nimwache tyu... Daaah niliitikia kwa shingo upande coz sikuwa tayari kumwacha.....but kuna siku nilimbembeleza sana akakubali daah mwanaume nikafurahi sana nikafunga zangu safari mpaka moro muda ulipowadia baada ya madikodiko kibao nikataka kuzamisha nyoka kwenye kitumbua lolllll sikuamini macho yangu coz kitumbua kilikuwa kipana sana hata sikuthubutu kuendelea coz hamu yote iliniisha nilitamani nimnyonge ila ndio ivyo tena why anidanganye yy ni virgin wakati ni tipa kwa kweliii nimeishiwa pozi kwa jinsi nilivyojitolea kumhudumia huyu mdada ....pesa yote niliyotumia smartphone niliyomnunulia kwa bei mbaya iphone5.......
JamaNi nimekuja hapa kuomba ushauri either nimwache au niendelee nae maaNa mpaka sasa sijui nichukue uamuzi gani coz nili plan hapo baadae yeye ndio aje kuwa mama watoto wangu ila kwa huu uwongo imekuwa ngumu kumeza nipo njia panda wana jf .....karibuni kwa ushauri maybe naeza rudiana nae...kuna mengi sana kanifanyia ....najuta penda
acha uoga si mpenzi wako? unamuacha kisa papuchi kama ziwa victoria? usiogope wanaume hatuko hivyoSalaam wana Jf...natumaini mu wazima wa afya tele na poleni kwa kuweza kutupa shauri ambazo kwa namna moja ama ingine zimeweza kudumisha mahusiano ya watu humu ndani...
Husika na kichwa cha habari hapo juu... Mimi ni kijana na umri wa miaka 24 na baada ya kumaliza bachelor yangu kuna kozi fulani naichukua ya miez 10 theN kuna kazi fulani nzuri tyu nimehadiwa pindi nikimaliza hii kozi ninyachukua kwa sasa .....
Maisha yaNgu ya kimapenzi ni kwamba pindi nipo chuo kuna baadhi ya wasichana nilikua na spend nao sana tyu but at the end niliishia kulala nao tyu na sikua na future nao coz wao ndio walikua wanajipendekeza kwangu na wengi wao walitamaNi kuwa na relationship na mimi but mimi niliwaona hawafai kwa sababu mavazi yao na kupenda kwao sana starehe nikaona si wazuri wa kuoa hao coz tutaishia kusumbuana katika ndoa ..... kwa jinsi nikivyokuwa smart na kwa jeuri ya fedha nikiokua nayo pale chuo niliwatumia vizuri tyuu any way tuachane na hayo ya nyuma ya pazia....
Ni mwaka na nusu sasa tangu nibahatike kukutaNa na binti fulani ivi kwa kweli nilivutiwa nae saNa kama kawaida siku laza damu nikaamua kum approach baada ya kubadilishana nae contact kwa kweli kwa siku za mwanzo alinisumbua but at the end alinikubalia...kwa kuwa yeye alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na alikuwa anasoma chuo fulani ambacho kipo karibu na hapa dar es salaam nilijitahidi saNa kila mwisho wa mwezi naenda kumtembelea na nisipokuwa na nafasi basi nilijitahid sana kumtumia pesa za matumizi 120000 taslimu......
Maisha yaliendelea vyema tyu... Ila ilipofika miezi kadhaa kama kawaida niliamua kuomba cha mviringo but kwa kweli alinijibu hajawahi kufanya so anaogopa nilimbembeleza sana lakni hakunielewa....tuliendelea ivyo but nikawa bado sijakubali nikarudia teNa kuomba cha mviringo jibu likawa lile akaniambia kama siwezi kuvumilia mpaka ndoa then ni bora nimwache tyu... Daaah niliitikia kwa shingo upande coz sikuwa tayari kumwacha.....but kuna siku nilimbembeleza sana akakubali daah mwanaume nikafurahi sana nikafunga zangu safari mpaka moro muda ulipowadia baada ya madikodiko kibao nikataka kuzamisha nyoka kwenye kitumbua lolllll sikuamini macho yangu coz kitumbua kilikuwa kipana sana hata sikuthubutu kuendelea coz hamu yote iliniisha nilitamani nimnyonge ila ndio ivyo tena why anidanganye yy ni virgin wakati ni tipa kwa kweliii nimeishiwa pozi kwa jinsi nilivyojitolea kumhudumia huyu mdada ....pesa yote niliyotumia smartphone niliyomnunulia kwa bei mbaya iphone5.......
JamaNi nimekuja hapa kuomba ushauri either nimwache au niendelee nae maaNa mpaka sasa sijui nichukue uamuzi gani coz nili plan hapo baadae yeye ndio aje kuwa mama watoto wangu ila kwa huu uwongo imekuwa ngumu kumeza nipo njia panda wana jf .....karibuni kwa ushauri maybe naeza rudiana nae...kuna mengi sana kanifanyia ....najuta penda
Kumbe tunawaza sawa...'.. kazi nzuri tyuu..'
'..niliishia kulala nao tyuu.. '
'..niliwatumia vizuri tyuu..'
'..maisha yaliendelea vyema tyuu..'
Tyuu tyuu tyuu tyuu..Eissh. Story ya kiume mwandiko wa kike.
Kumbe tunawaza sawa...
Huyu kaamua kuchangamsha jamvi tu
Umeona eee, mtenda hutendwaHeheeheheh na tipa lake bado unaonekana unamtaka,..tatzo ulivyodanganywa ukaweka na expectations kubwa,matokeo ndio hayo,..polee eeee na kumbuke wale binti ulowafunua na kuwaacha
upoo brother...!?Umeona eee, mtenda hutendwa
Nakusoma dadakeupoo brother...!?
Upo kimya sana pande hizi.....Nakusoma dadake
Pande za huwa sichangii sana niko pande za kuumiza kichwa zaidi nawasoma wenye shule zaoUpo kimya sana pande hizi.....
Hahahaaa haya kaka,....Pande za huwa sichangii sana niko pande za kuumiza kichwa zaidi nawasoma wenye shule zao
Si nasikia bikra nyingine zinatokaga zenyewe? Wajuzi mtusaidie hasa kina.dada.uzoefu wenu please
Ha ha ha ha ha ha haaaa, nipe namba ya huyo bishosti nimnunulie soda kwa mangi...Salaam wana Jf...natumaini mu wazima wa afya tele na poleni kwa kuweza kutupa shauri ambazo kwa namna moja ama ingine zimeweza kudumisha mahusiano ya watu humu ndani...