Fikra mbovuuuuWadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..
Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..
Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..
Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..
Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,
Tumekosa uzalendo?
Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?
Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..
Naomba kutoa hoja.
Wana roho mbaya wanawake ila kama sura na umbo tu go and marry mkuuRwanda nahc katika Africa inaongoza kwa kua na wanawake na warembo wazuri zaidi. I also ponder to marry a woman from Rwanda. Help me God!
Hapo umenena mzee.. Kweli kbsLabda ni kwa sababu ya warembo wa kinyarwanda
wanyarwanda mnapenda kujisifia wakati mnatia kichefuchefuWadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..
Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..
Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..
Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..
Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,
Tumekosa uzalendo?
Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?
Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..
Naomba kutoa hoja.
Hunger and Poverty | ONE UN RwandaMuongo bro Rwanda maskini vp ilihali hakuna nyumba ya nyasi hata moja pia system yao ya life ni mzuri kuliko inchi yeyote Ya Africa mashariki pia pesa yao ipo juu kuliko Tz vp leo useme uongo?
Binafsi sijawahi kuipenda Rwanda hata kidogo, naona jina lako ni la kutoka huko Rwanda mkuu ila unasoma upepo...
We binafsi unaamini hivo?ebu fikiria tu we mwenyewe ni kitu gn labda Rwanda kipo halafu Tanzania hakipo ambacho kinafanya watanzania waipende Rwanda zaidiWadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..
Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..
Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..
Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..
Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,
Tumekosa uzalendo?
Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?
Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..
Naomba kutoa hoja.
Bila ya shaka wewe hauwijui Rwanda embu niambie Rwanda sehemu ipi inanyumba ya nyasi?pia weka pesa ya Rwanda na Tz tuone ipi ipo juu?mimi sijaujua mji unaoitwa chigali ....nijuavyo Africa kusini ipo juu kiuchumi lakini pia maskini wapo wengi mie nimekaa na ninaona pia Duniani Oman ndio nchi ya kwanza kuwa na thaman ya kipesa oman Real moja tz sawa na 5800/=lakini wapo watu ni maskini ktk maeneo ya Sakata pia England paund ipo juu lakini nenda mitaa ya pemba utakuta maskini sasa sijui unaongelea umaskini wa Rwanda ukiufananisha na nchi ipi?Hunger and Poverty | ONE UN Rwanda
Rwanda Kuna masikini wengi sana na raia wengi wanaishi chini ya mstari wa umasikini...
Kuna wanyarwanda wakimbizi zimbabwe zaidi ya 500 wanaishi maisha magumu sana...
Tunaposema Rwanda hatusemi chigali mkuu..
Tuishie kusema wanajitahidi sio kusema Rwanda wako vizuri kijumlajumla
Nchi yenyewe ukubwa wake ni kama mkoa wa morogoro au hata morogoro inaweza kuwa kubwa utalinganisha na Tz vitu vingine usilinganishe ndiyo wezi wakubwa wa madini congo Kinshasa kama hujuiMuongo bro Rwanda maskini vp ilihali hakuna nyumba ya nyasi hata moja pia system yao ya life ni mzuri kuliko inchi yeyote Ya Africa mashariki pia pesa yao ipo juu kuliko Tz vp leo useme uongo?